Habari wana JF,Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝.
Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba...
Wakuu kwema?
Aisee mwaka jana january 26 2022 nilikua nimeenda kariakoo na demu wangu mmoja mtoto wa kishua kufanya shopping maana nilikua nimehamia geto miezi miwili nyuma so sikua na mapazia ...
Habari wana ndugu mimi ni kijana wa miaka 32 naishi dar es salaam ,mkristo na nimejiajiri natafuta mpenzi alietayari kuwa mke, vigezo asiwe na mtoto zaidi ya mmoja awe tayari kwa ndoa mwakani.
Mara nyingine unaweza sema mtu anamtania mwenzake lakini clearly unakuta jamaa liko serious kabisa linadondokea kwa id inayoonesha ni ya KE.
Sasa sijui ni mchezo wa kubahatisha kama anaweza...
Nina miaka kadhaa kwenye mahusiano na ndoa, nina watoto pia. Lakini sijawahi kulala kitanda kimoja sijui shuka moja na mke.
Bahati mbaya ukimhadithia mtu kwamba haulali kitanda kitanda kimoja mke...
Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni...
Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja, kwa zaidi ya mwaka sasa, amekuwa na tatizo la kupata ujauzito kwenye ndoa yake kwa zaidi ya miaka mnne ya ndoa, na amekuwa akiniomba nimsaidie kupata...
Habari wakuu,
Husika na kichwa tajwa,
Sogea tukae ni aina ya ndoa za mchongo ambazo wanawake wamezitaka.
Wamezitaka wanawake kwakuwa wamejisogeza kwa wanaume bila kusubiri wakati wa wao kufunga...
Natumaini mko poa.
Katika maisha ya sasa kumezuka mtindo wa wanawake kujifanya wajuaji sana pindi unapo mtokea kwa nia njema ya kutaka kumuoa bila wao kujua hiyo ni ishara mbaya inayo wapelekea...
Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi.
Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati...
Habari zenu wakuu,
Hii ni mada maalumu kwa wanaume wote ambao toka kitambo wanatatizo la kutosimamisha jogoo yani tofauti na kupanda mtungi yani hawiki kabisa.
Kwanza naanza kwa pole kwa...
Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.
Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa...
Habari za ndugu zangu
HAKIKA NAWAAMBIENI TUSIPO WASIMAMIA NA KUWAKATAZA WANAWAKE IPO SIKU WATATEMBEA UCHI WA MNYAMA HADHARANI
Ukiwaangalia na kuchunguza sana wanawake zenu wanaovaa hivi na kama...
Bado najiuliza, Je, NDOA ni TAMU au CHUNGU ?!!
Ni swali ambalo walio nje ya ndoa wanajiuliza kila siku, lakini hata walio ndani ya ndoa nao bado hawana majibu yaliyokamilika.
•Kuna watu...
Habari wanajamvi,
Kuna huu msemo umezidi kushamiri katika maeneo mengi tofauti! Ni kuhusiana na kushushwa thamani ya kuwepo katika ndoa kwa wanawake aina ya thate plus!
Thate plus ni mwanamke wa...
Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye.
Hivi vitu...
Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari!
Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule...
Hope you are doing good!
Kama mambo sio mambo komaa ndio tayari hivo upo duniani na hakuna dawa kwa hilo.
Kila mwanamke kazaliwa akiwa na PhD ya manipulation, hii ni sehem ya DNA yao wameumbwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.