Sogea Tukae: Ndoa ya 'mchongo' inayoua ndoa halisi

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari wakuu,

Husika na kichwa tajwa,

Sogea tukae ni aina ya ndoa za mchongo ambazo wanawake wamezitaka.

Wamezitaka wanawake kwakuwa wamejisogeza kwa wanaume bila kusubiri wakati wa wao kufunga ndoa halisi.

Ndoa hii ya mchongo imehalalisha zinaa, wanaume wanakula tunda kiulaini bila kupata shida na ndio maana wanamkataa ndoa na kuita ni utapeli.

Hii ndoa ya mchongo ya sogea tukae imepelekea wanawake kuwa single mama.

Ajabu wakishawazalisha wanawasema vibaya na wanasema hawawaoi.

Ndio maana watoto wasio na walezi wawili wamekuwa wakiongezeka huko mitaani.

Ni kwa kuwa wanaume wakishawazoea na kuwatumia huwachoka na kutafuta wanawake wapya na kuwaoa..

Nasema wanawake wamezitaka sababu ni kiherehere chao tu kimewapeleka kwa wanaume bila kufunga ndoa halisi ya kanisani na msikitini.

Wanaume wao wanaona kwao ni sawa tu maana umejipeleka mwenyewe kwao.

Hii imepelekea wanaume kuona kua ndoa halisi ya kanisani na msikitini haina maana wanaona tayari wameoa ilihali hawjaoa.

Imefanya wanaume kukataa ndoa na kuoana ni utapeli pia sababu imekuwa ni rahisi tu maana ukimwambia mwanamke njoo tuishi anakuja anahamia..

Sogea tukae imeharibu maana nzima ya ndoa halisi za kanisani na msikitini.

Pia imefanya wanaume wasiome umuhimu wa kufunga ndoa kanisani na msikitini.

Sogea tukae ni zinaa, kataa sogea tukae kataa utapeli..
 
Dada utapiga kelele sana, wanawake wengi huwapenda wanaume wababe, aina ya bad boys, ila wanaume waadilifu huchukiwa sana. Yaani hawa waadilifu ndo wanakuwaga wa mwisho na ni wachache.

Huku mtaani mbona watu wanaoa na kuolewa ila wengi wao wanaanza kwa kuishi pamoja. So ni kama desturi tuliyojiwekea kutokana na Kasi ya teknolojia.

Kataa ndoa Iko jamiiforums na sio mtaani sema tu ndoa hazidumu.
 
Nawaharibia ili tuokoe kizazi kijacho nacho kisifanye makosa haya...

Kuondoa ukabila
Kukubali dini za kigeni ndiko kulikoangamiza jamii yetu.

Kama wazazi waliasi mil na desturi zao wakawa Wakristo na waislamu. Basi haitashangaza watoto wao kuasi huo ukristo, uislamu na mila kisha kujiamulia maisha wanayoyataka.

Ukiwa msaliti daima msaliti tuu
 
Hao wengi wanaishi kwa wasiwasi sijui ndoa basi vijana wa hovyo wanachukulia huo udhaifu kuzalisha na kuwakimbia.

Mwanamke akijitunza ataolewa hata na miaka 40 tatizo wanawake mnajipa unnecessary pressure za umri...Nan anayejua kesho bhana we ishi kama ndoa utaolewa tu finally maisha ni ubatili kila mtu atakufa.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa tajwa,

Sogea tukae ni aina ya ndoa za mchongo ambazo wanawake wamezitaka.

Wamezitaka wanawake kwakuwa wamejisogeza kwa wanaume bila kusubiri wakati wa wao kufunga ndoa halisi.

Ndoa hii ya mchongo imehalalisha zinaa, wanaume wanakula tunda kiulaini bila kupata shida na ndio maana wanamkataa ndoa na kuita ni utapeli.

Hii ndoa ya mchongo ya sogea tukae imepelekea wanawake kuwa single mama.

Ajabu wakishawazalisha wanawasema vibaya na wanasema hawawaoi.

Ndio maana watoto wasio na walezi wawili wamekuwa wakiongezeka huko mitaani.

Ni kwa kuwa wanaume wakishawazoea na kuwatumia huwachoka na kutafuta wanawake wapya na kuwaoa..

Nasema wanawake wamezitaka sababu ni kiherehere chao tu kimewapeleka kwa wanaume bila kufunga ndoa halisi ya kanisani na msikitini.

Wanaume wao wanaona kwao ni sawa tu maana umejipeleka mwenyewe kwao.

Hii imepelekea wanaume kuona kua ndoa halisi ya kanisani na msikitini haina maana wanaona tayari wameoa ilihali hawjaoa.

Imefanya wanaume kukataa ndoa na kuoana ni utapeli pia sababu imekuwa ni rahisi tu maana ukimwambia mwanamke njoo tuishi anakuja anahamia..

Sogea tukae imeharibu maana nzima ya ndoa halisi za kanisani na msikitini.

Pia imefanya wanaume wasiome umuhimu wa kufunga ndoa kanisani na msikitini.

Sogea tukae ni zinaa, kataa sogea tukae kataa utapeli..
Ukikua utakanusha huu upuuzi
 
Ndoa za makanisani ni shida Sana Bora ndoa za kimila tuu, kidog angalau za misikitini ,
 
Ipo sana Kaskazini mwa Tanzania
 
Back
Top Bottom