Nahitaji mke

Habari wana ndugu mimi ni kijana wa miaka 32 naishi dar es salaam ,mkristo na nimejiajiri natafuta mpenzi alietayari kuwa mke, vigezo asiwe na mtoto zaidi ya mmoja awe tayari kwa ndoa mwakani.
...awe tayari kwa ndoa mwakani!

That's too fast my young brother! Utaishia kupata mwenye stress za ndoa
 
Habari wana ndugu mimi ni kijana wa miaka 32 naishi dar es salaam ,mkristo na nimejiajiri natafuta mpenzi alietayari kuwa mke, vigezo asiwe na mtoto zaidi ya mmoja awe tayari kwa ndoa mwakani.
Kheri kama unao dhamira ya kweli ya kuoa.
Wengine wanapenda kutangaza kwa ajli ya kujirahisisha kupata mademu wa kuonja..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom