Kujikwamua na tatizo la kutosimamisha magic/spiritual yaani jogoo hasimami

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,481
Habari zenu wakuu,

Hii ni mada maalumu kwa wanaume wote ambao toka kitambo wanatatizo la kutosimamisha jogoo yani tofauti na kupanda mtungi yani hawiki kabisa.

Kwanza naanza kwa pole kwa wahanga, japokua wametengwa ila tiba ipo kwa miujiza na dawa na roho basi kama line imekatika waweza kuirudisha kwa muambatano wa njia hizo tatu na asili nne.

Kwanza kabisa,

Hii ni hali inayomtokea mwanamme ambapo anakuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa lakini uume wake au hausimami kabisa, kukosa kusimama kikamilifu au kusimama kikamilifu kwa muda mfupi sana hivyo kukosa nguvu ya kufanya tendo lililokusudiwa. Nusu wa wanaume hupata tatizo hili wanapofikia umri wa miaka 40, idadi ikiongezeka kwa wanaume wenye umri mkubwa zaidi, kwa mfano asilimia 70 ya wanaume wenye miaka 70 huwa na tatizo hili.

Ifahamike kwamba kila mmoja wetu huweza kupata tatizo hili kwa muda fulani kutokana na vitu kama uchovu, kupata kilevi, kutoelewana na mwenzi n.k. Tunasema mwanamme ana tatizo hili pale hali hii inapoendelea kwa kipindi kirefu, kwa mfano hali hii ikitokea kwa mwezi mzima mfulululizo. Hiyo ndio jogoo aliefeli sipo kuzungumzia mapungufu nazungumzia kiumbe ambaye hapati kabisa hata hisia hapo. Lakini hapa nazungumzia jogoo ambaye hata hashtuki katulia tuu ghafla au niwa kuzaliwa hivyo.

Ikiwa mtu katumia njia za hospital madawa ya kienyeji ya kizungu lakini bado jomba hainuki basi huyu anakua kachezewa mchezo mmoja katika ya mitatu wa nne ni asili ya mtu yani kazaliwa nao.

Aina za michezo:

1: Kichawi

2: Majini

3: Mwanamke uliewahi kukutana nae

Sasa kuna njia mbadala za kujisaidia kama wewe ni muhanga nione PM upate msaada.

Wa tatizo japo hata ushauri:

1474546852878.jpg

Hoja na maswali navikaribisha.

Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims
 
we tapeli,nani aje inbobo?
Sijaita Mtu Ila Nimeonyesha Njia Ya Kunipata Wewe Ukiona Haikuhusu Kaa Pembeni Nyie Ndio Mnaohangaika Kuharibu Nyuzi Za Watu Kasome Na Wewe Upate Uzi Wa Kuweka Au Kazi Ya Kufanya Mkuu

lakini umeacha tabia za kitapeli mnk si tunajua mshana ndo sio tapeli ila ww tapeli....umeacha?
 
Bora Zaidi Ujue Mimi Tapeli Bado Sijaacha Nilishakutapeli Kitu Gani?

Sasa Kwenye Uzi Wa Tapeli Unatafuta Nini Mkuu?

Fungua Za Watakatifu Ok.?
tapeli uwe na account moja una wazimu mchanga Labda...

Uzi Wanawekewa Wahanga Wewe Unaleta Habari Hazihusiani Na Uzi Low IQ

Mhh unajitetea sana...alhamdulilah ww ni tapeli.
 
Kuna siku niliparalise kabisa alafu mapigo ya moyo yakawa wanakwenda kasi afu nkaanza kuskia sauti za ajabu ajabu, sa kila nkijaribu kujiinua ki-astral nashindwa, mpaka nikainuka mwili wote na paralise ikaishia hapo...aah nikaona ujinga huu nikatemana nayo
Njoo Kwenye Uzi Wa Astral Projection...

Rakims
 
Habari zenu wakuu,

Hii ni mada maalumu kwa wanaume wote ambao toka kitambo wanatatizo la kutosimamisha jogoo yani tofauti na kupanda mtungi yani hawiki kabisa.

Kwanza naanza kwa pole kwa wahanga, japokua wametengwa ila tiba ipo kwa miujiza na dawa na roho basi kama line imekatika waweza kuirudisha kwa muambatano wa njia hizo tatu na asili nne.

Kwanza kabisa,

Hii ni hali inayomtokea mwanamme ambapo anakuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa lakini uume wake au hausimami kabisa, kukosa kusimama kikamilifu au kusimama kikamilifu kwa muda mfupi sana hivyo kukosa nguvu ya kufanya tendo lililokusudiwa. Nusu wa wanaume hupata tatizo hili wanapofikia umri wa miaka 40, idadi ikiongezeka kwa wanaume wenye umri mkubwa zaidi, kwa mfano asilimia 70 ya wanaume wenye miaka 70 huwa na tatizo hili.

Ifahamike kwamba kila mmoja wetu huweza kupata tatizo hili kwa muda fulani kutokana na vitu kama uchovu, kupata kilevi, kutoelewana na mwenzi n.k. Tunasema mwanamme ana tatizo hili pale hali hii inapoendelea kwa kipindi kirefu, kwa mfano hali hii ikitokea kwa mwezi mzima mfulululizo. Hiyo ndio jogoo aliefeli sipo kuzungumzia mapungufu nazungumzia kiumbe ambaye hapati kabisa hata hisia hapo. Lakini hapa nazungumzia jogoo ambaye hata hashtuki katulia tuu ghafla au niwa kuzaliwa hivyo.

Ikiwa mtu katumia njia za hospital madawa ya kienyeji ya kizungu lakini bado jomba hainuki basi huyu anakua kachezewa mchezo mmoja katika ya mitatu wa nne ni asili ya mtu yani kazaliwa nao.

Aina za michezo:

1: Kichawi

2: Majini

3: Mwanamke uliewahi kukutana nae

Sasa kuna njia mbadala za kujisaidia kama wewe ni muhanga nione PM upate msaada.

Wa tatizo japo hata ushauri:

View attachment 404911

Hoja na maswali navikaribisha.

Rakims
acha utapeli
 
Ukitaka kujua nina matatizo or sina nipe marinda hayo nikufumue coz naona yashaanza kukuwasha umetamani nikuingize kitu kigumu ukunwe
 
Mzee Unatatizo Umeshahangaika Sana Maana Hadi Kufikia Unasema Huu Utapeli Umeshatapeliwa Mara Ngapi.?
Ukitaka kujua niana matatizo or sina nipe marinda hayo nikufumue coz naona yashaanza kukuwasha umetamani nikuingize kitu kigumu ukunwe
 
Back
Top Bottom