Usishindane na mwanamke akiamua lake hashindwi nimekubali

Atukuzwee

Senior Member
Aug 6, 2017
113
211
Wakuu kwema?

Aisee mwaka jana january 26 2022 nilikua nimeenda kariakoo na demu wangu mmoja mtoto wa kishua kufanya shopping maana nilikua nimehamia geto miezi miwili nyuma so sikua na mapazia , vyombo na other stuff

Hyo siku nikampigia simu demu wangu yeye anasoma chuo X sikisemi maana hapa nitaku open sana ataweza kujua anisindikize kariako akaniambia atakuja mpaka home tutoke wote, nikamuambia si tukutane gerezani akagoma akasema atakuja home nimsubirie.

Demu kaja saa 7 hivi kutoka nje nakutana na harrier kuuliza ananiambia ni ya home akaniambia ni drive nikamuambia sijui akacheka sana akaniambia unaonekana tuu bado ujachangamka nikakausha tukaenda na gari mpaka gerezani tukaliacha pale tukaingia kariako.

Hapa niseme ukweli yule demu ananipenda sana alinunulia mapazia, mashuka, pillows,pasi, race cooker,sufuria na Radio ya panasonic ya laki tatu ni sound bar nilistaajabu saana maana haijawahi kutokea
Basi hela yangu nikanunua TV ya flat screen na fridge na feni kubwa tukarudi home tuko full nilifrahi sana kumbe demu alikua na lake jambo bana.

Siku hyo nilikua mtu mwenye furaha sana tukaenda kula lunch kingdom segerea stendi pale nikala sana vyombo demu yeye anakunywa juice tuu, wakati tunarudi tukiwa njiani akaniambia anataka nimpe ujauzito pombe ikakata maana sikua tayari na mimi na yeye amenizidi mbali sana nikagoma nikamuambia siko tayari akasema poa.

Tukafika geto mahaba nikasahau tukasex bila kondomu basi bana siku ile mimba iliingia hakuniambia ana mimba tukandelea nae baada ya miezi kadhaa nikaanza kuona mabadiliko ya mwili nikamuuliza akanaimbia si unajua sisi wamawake huwa tunatanuka tukirizka nikakausha.

Baaadae akaniambia ana mimba daaha nikapata mshtuko maana sikutegemea nikakataa mimba akalia sana na penzi likafa rasmi

Mwezi wa 10 akajifungua mtoto wa kiume akanitafuta akaniambia nimejifungua ikumbukwe ilipita almost miezi 5 bila mawasiliano ikabidi niende nikamuone mtoto bana baada ya miezi mitatu january mwaka huu mpka niliona aibu ni mimi mtupu basi nikamuomba msamaha pale mwaka huu mwezi wa 11 mungu akijaalia tunafunga ndoa.

NOTE:
HUYU MWANAMKE KWAO WANA UWEZO SANA NA SIO KAMA NILIKUA SIMPENDI HAPANA MAISHA YAO NA KWETU HATUFANANI SO NIKAONA KAMA TUNAPOTEZEANA MDA MAANA KUMUOA NILIONA NI UWONGO TUU HAKUKUA NA HAJA YA KUZAA NAE BUT YEYE ALIAMUA NA IKAWA NA KWAO MZEE ALIANDAMANA BADAE AKAKAUSHA TUU. STORY NI NDEFU KUNA MAMBO MENGI SIJAYAELEZEA HAPO

NAACHA UKANJANJA RASMI NAJIANDAA KWA NDOA.
 
Uwe makini boss. Pambana hakikisha huo uoga wa kuwa familia yake imekuzidi kiuchumi uizime haraka sana. Akisha kua mkeo tu hawezi kurudi kwa baba yake kuomba pesa ya pedi na pampas. Jipange, pambana, fanya kazi mkuu.
 
Na mziki huu wa ajira mkuu unamaliza tu umepata shavu.. mimba imekuwa ya muhimu kwako kuliko vyeti. Mungu kweli Atukuzwee
 
07BC2370-D5A1-4253-89BC-74053F4BCF34.jpeg
 
Uwe makini boss. Pambana hakikisha huo uoga wa kuwa familia yake imekuzidi kiuchumi uizime haraka sana. Akisha kua mkeo tu hawezi kurudi kwa baba yake kuomba pesa ya pedi na pampas. Jipange, pambana, fanya kazi mkuu.
Napambana mkuu mimi nimeajiriwa so napata chochote kitu
 
Wakuu kwema?

Aisee mwaka jana january 26 2022 nilikua nimeenda kariakoo na demu wangu mmoja mtoto wa kishua kufanya shopping maana nilikua nimehamia geto miezi miwili nyuma so sikua na mapazia , vyombo na other stuff

Hyo siku nikampigia simu demu wangu yeye anasoma chuo X sikisemi maana hapa nitaku open sana ataweza kujua anisindikize kariako akaniambia atakuja mpaka home tutoke wote, nikamuambia si tukutane gerezani akagoma akasema atakuja home nimsubirie.

Demu kaja saa 7 hivi kutoka nje nakutana na harrier kuuliza ananiambia ni ya home akaniambia ni drive nikamuambia sijui akacheka sana akaniambia unaonekana tuu bado ujachangamka nikakausha tukaenda na gari mpaka gerezani tukaliacha pale tukaingia kariako.

Hapa niseme ukweli yule demu ananipenda sana alinunulia mapazia, mashuka, pillows,pasi, race cooker,sufuria na Radio ya panasonic ya laki tatu ni sound bar nilistaajabu saana maana haijawahi kutokea
Basi hela yangu nikanunua TV ya flat screen na fridge na feni kubwa tukarudi home tuko full nilifrahi sana kumbe demu alikua na lake jambo bana.

Siku hyo nilikua mtu mwenye furaha sana tukaenda kula lunch kingdom segerea stendi pale nikala sana vyombo demu yeye anakunywa juice tuu, wakati tunarudi tukiwa njiani akaniambia anataka nimpe ujauzito pombe ikakata maana sikua tayari na mimi na yeye amenizidi mbali sana nikagoma nikamuambia siko tayari akasema poa.

Tukafika geto mahaba nikasahau tukasex bila kondomu basi bana siku ile mimba iliingia hakuniambia ana mimba tukandelea nae baada ya miezi kadhaa nikaanza kuona mabadiliko ya mwili nikamuuliza akanaimbia si unajua sisi wamawake huwa tunatanuka tukirizka nikakausha.

Baaadae akaniambia ana mimba daaha nikapata mshtuko maana sikutegemea nikakataa mimba akalia sana na penzi likafa rasmi

Mwezi wa 10 akajifungua mtoto wa kiume akanitafuta akaniambia nimejifungua ikumbukwe ilipita almost miezi 5 bila mawasiliano ikabidi niende nikamuone mtoto bana baada ya miezi mitatu january mwaka huu mpka niliona aibu ni mimi mtupu basi nikamuomba msamaha pale mwaka huu mwezi wa 11 mungu akijaalia tunafunga ndoa.

NOTE:
HUYU MWANAMKE KWAO WANA UWEZO SANA NA SIO KAMA NILIKUA SIMPENDI HAPANA MAISHA YAO NA KWETU HATUFANANI SO NIKAONA KAMA TUNAPOTEZEANA MDA MAANA KUMUOA NILIONA NI UWONGO TUU HAKUKUA NA HAJA YA KUZAA NAE BUT YEYE ALIAMUA NA IKAWA NA KWAO MZEE ALIANDAMANA BADAE AKAKAUSHA TUU. STORY NI NDEFU KUNA MAMBO MENGI SIJAYAELEZEA HAPO

NAACHA UKANJANJA RASMI NAJIANDAA KWA NDOA.
Jiandae kuteseka mkuu!!

Omba Mungu sana nakuambia!

Na zijua couple za ivo yaani unakua boya NDANI ya nyumba!atakupelekesha kishenzi mi nakuambia!!

Ngoja ndoa ifike stage 2 UTAJUA hujui!!!

OA LAKINI JIANDAE KWA LOLOTE MKUU!!

HAO VIUMBE HUWA WANA MALENGO YAO!YAKIKAMILIKA SARAKASI ZINAANZA!UTAONEKANA YAI VIZA!!

HIVYO TU!
 
Wakuu kwema?

Aisee mwaka jana january 26 2022 nilikua nimeenda kariakoo na demu wangu mmoja mtoto wa kishua kufanya shopping maana nilikua nimehamia geto miezi miwili nyuma so sikua na mapazia , vyombo na other stuff

Hyo siku nikampigia simu demu wangu yeye anasoma chuo X sikisemi maana hapa nitaku open sana ataweza kujua anisindikize kariako akaniambia atakuja mpaka home tutoke wote, nikamuambia si tukutane gerezani akagoma akasema atakuja home nimsubirie.

Demu kaja saa 7 hivi kutoka nje nakutana na harrier kuuliza ananiambia ni ya home akaniambia ni drive nikamuambia sijui akacheka sana akaniambia unaonekana tuu bado ujachangamka nikakausha tukaenda na gari mpaka gerezani tukaliacha pale tukaingia kariako.

Hapa niseme ukweli yule demu ananipenda sana alinunulia mapazia, mashuka, pillows,pasi, race cooker,sufuria na Radio ya panasonic ya laki tatu ni sound bar nilistaajabu saana maana haijawahi kutokea
Basi hela yangu nikanunua TV ya flat screen na fridge na feni kubwa tukarudi home tuko full nilifrahi sana kumbe demu alikua na lake jambo bana.

Siku hyo nilikua mtu mwenye furaha sana tukaenda kula lunch kingdom segerea stendi pale nikala sana vyombo demu yeye anakunywa juice tuu, wakati tunarudi tukiwa njiani akaniambia anataka nimpe ujauzito pombe ikakata maana sikua tayari na mimi na yeye amenizidi mbali sana nikagoma nikamuambia siko tayari akasema poa.

Tukafika geto mahaba nikasahau tukasex bila kondomu basi bana siku ile mimba iliingia hakuniambia ana mimba tukandelea nae baada ya miezi kadhaa nikaanza kuona mabadiliko ya mwili nikamuuliza akanaimbia si unajua sisi wamawake huwa tunatanuka tukirizka nikakausha.

Baaadae akaniambia ana mimba daaha nikapata mshtuko maana sikutegemea nikakataa mimba akalia sana na penzi likafa rasmi

Mwezi wa 10 akajifungua mtoto wa kiume akanitafuta akaniambia nimejifungua ikumbukwe ilipita almost miezi 5 bila mawasiliano ikabidi niende nikamuone mtoto bana baada ya miezi mitatu january mwaka huu mpka niliona aibu ni mimi mtupu basi nikamuomba msamaha pale mwaka huu mwezi wa 11 mungu akijaalia tunafunga ndoa.

NOTE:
HUYU MWANAMKE KWAO WANA UWEZO SANA NA SIO KAMA NILIKUA SIMPENDI HAPANA MAISHA YAO NA KWETU HATUFANANI SO NIKAONA KAMA TUNAPOTEZEANA MDA MAANA KUMUOA NILIONA NI UWONGO TUU HAKUKUA NA HAJA YA KUZAA NAE BUT YEYE ALIAMUA NA IKAWA NA KWAO MZEE ALIANDAMANA BADAE AKAKAUSHA TUU. STORY NI NDEFU KUNA MAMBO MENGI SIJAYAELEZEA HAPO

NAACHA UKANJANJA RASMI NAJIANDAA KWA NDOA.

Fantasy, tafuta hela, au amka toka kwenye ndoto kijana, haya maisha sio mepesi, usiote ote.
 
Back
Top Bottom