Umelaaniwa, huyo mwanamke wako hakuvalii wewe nusu uchi anatuvalia sisi hakika usiongozane naye

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Habari za ndugu zangu

HAKIKA NAWAAMBIENI TUSIPO WASIMAMIA NA KUWAKATAZA WANAWAKE IPO SIKU WATATEMBEA UCHI WA MNYAMA HADHARANI

Ukiwaangalia na kuchunguza sana wanawake zenu wanaovaa hivi na kama wewe ni mtu wa viwanja utagundua kabisa mavazi yao yanaonyesha na kuwaeleza wazi kuwa hawanatofauti na dada poa hakika, sasa jiulize kama siyo dada poa huyo mwanamke wako na ingekua ana kuvalia wewe nusu uchi angekuvalia huko chumbani na siyo barabarani sisi tuone mwili wake.

Ukweli mchungu huu na nayasema haya kwasababu kunawimbi la wanaume walio laaniwa na wasio na akili kabisa wanao ongozana mijini na sehemu tofauti tofauti za kupata huduma za kijamii kwa namna zake wakiwa na wanawake wanaovaa nusu uchi huku wanawake wengine ukiwaangalia unaona ule ni uchi kabisa wakiinama huku wakikiacha kitumbua kikiwa kinaonekana kwa mbali namna kilivyoumbika.

Utakutana na wa/mwanaume wanaongozana na wa/mwanamke kavalia nguo ipo juu ya magoti kabisa, mwingine kavalia nguo ipo juu ya kitovu, mwingine kavaa shifoni mpaka chuchu zinaonekana wazi kabisa, mwingine kitovu na tumbo lote lipo nje nje, kiuno na mapaja usiseme kabisa vyote nje wazi wazi, huku mwanamke mwingine utakuta kavaa nguo mabega yote mpaka usawa wa matiti, mgongo na kifua vipo wazi kabisa huku na chini ni hovyo kavaa yani ni uchi uchi, wa/mwanaume mwingine mwenye laana anaongozana na mwanamke kavaa skin tyt tuu (vile wanavyovaa wanawake wakisha vaa pantii) na kitisheti au shifoni huku mbele na nyuma kachoreka ,juu mpaka chini unaona mwili huu hapa wa mwanamke

Wapo pia wanaume wengine wanaongozana hospitali/ klinik na wanawake wao wajawazito waliovalia magauni ya nusu uchi yakiwa nyuma yamenyanyuka kiasi cha tunaona kingo za mapaja na wakipanda kwenye ngazi ni balaa tupu unaona vitu hivi hapa, wanaume hawa nao hawana akili na wamelaaniwa kabisa kabisa.

Mwanaume kama unayo akili na haujalaaniwa huwezi kukubali kuongozana na mwanamke aliyevaa nusu uchi mkatoka nje ya nyumba na ukatembea nae pamoja. Mwanaume mpumbavu, mwenye laana na asiye na akili ndiye mwanaume pekee atakaye weza kuongoza na mwanamke aliyevalia nusu uchi barabarani na sehemu zinazotoa huduma za kijamii

Enyi wanaume mlio kwisha kukosa akili na wenye laana, chukueni neno hili jukumu la mwanaume kwa hawa viumbe ni kutawala, kuongoza ,kutunza na kuamrisha kwa akili na sii kwa mabavu. ila wakileta ujuaji kama mtawala lazima nguvu isiyo na madhara makubwa itumike kuwa weka sawa hawa wanawake nasiyo kuwachekea. Wakatazeni wanawake zenu na mabinti zenu kuvalia nusu uchi, kuepuka hii laana na fedheha , epuka ukosefu wa akili na upumbavu wa kujitakia wakuongozana na mwanamke aliyevaa nusu uchi hawa hawana tofauti na dada poa

Ipo siku vijana watawatongoza na kuwapapasa miili hao wanawake zenu mnaoongozana nao huku wamevalia nusu uchi na hakuna kitu mtafanya sawa sawa na laana na upumbavu wenu mlio nao wanaume zao
View attachment 2887008View attachment 2887009
Screenshot_20240129-133238.jpg
 
Kuna dada nafamiana nae ameolewa na ana mtoto wa kike anavaa nusu uchi hadi najiuliza mwanae wa kike anajifunza nini?

Huwa anatoka maeneo ya public na mumewe kavaa nusu uchi, najiuliza mumewe hana wivu? Anaruhusuje mali zake ziwe nje? Kila mtu aziangalie.

Hii dunia sijui tunaelekea wapi? Siku baba akitoka kimapenzi na mwanae sitoshangaa
 
Kuna dada nafamiana nae ameolewa na ana mtoto wa kike anavaa nusu uchi hadi najiuliza mwanae wa kike anajifunza nini? Uwa anatoka maeneo ya public na mumewe kavaa nusu uchi, najiuliza mumewe hana wivu? Anaruhusuje mali zake ziwe nje? Kila mtu aziangalie
Hii dunia sijui tunaelekea wapi?siku baba akitoka kimapenzi na mwanae sitoshangaa
Hao ni ujana tu wakifika uzeeni wenyewe wanasaliti chama...Hata ulaya wazee hawavai sana nusu uchi
 
Mavazi,...🤔🤔🤔 kuna jambo nimejikuta nalikumbuka hapa. Katika kutembea mitandaoni, nilishaona point za namna hizi...nikawiwa mno kufanya mabadiliko binafsi

√ Always aim to dress modestly because you can never know who you will meet with. Mwandishi aliandika with respect to the royals, namna wanavyodress, hakuna siku tutawaona wamevaa hovyo mbeleza hadhara..stuff like crop tops, biker shorts sijui, na ni watu wakuu (according to the world) hivyo jipime..unafit hapo?

√ Kujifunika kwa standard kuna kuvika heshima na thamani kubwa mno. Well ni wewe kuamua kujivika hiyo thamani kwanza kabla ya wengine.

√ Mwanamke aliyejifunika vizuri, ni sifa na tunu kubwa mno. In Hosea, ameandika kwamba katikati ya maziwa ya mwanamke anapoyaexpose then ni sign ya uasherati. Cleavages, zinakureflect kama kahaba unapoziuza. Haya ni maneno ya Hosea 2:2.

√ Unavyovaa kunaweza kukupeleka sehemu ambapo usingeweza kutegemea. How do you dress?

Maybe we should think of this...maybe!!!!
 
Mavazi,...🤔🤔🤔 kuna jambo nimejikuta nalikumbuka hapa. Katika kutembea mitandaoni, nilishaona point za namna hizi...nikawiwa mno kufanya mabadiliko binafsi...
Madam, now in Engish, dunia hii hatuwezi kuwa sawa wote, kila mtu avae anavyodhani ni sawa, kwanza ukumbuke bibi zetu walikua wanavaa vibwaya kabla ya kuja mkoloni
 
Nilikua nikimzui sana demu wangu kuvaa vibaya alipenda kuvaa vimini juu ya magoti vyenye mpasuo mrefu katikat ya mapaja kwa nyuma na matiti kwa juu yakionyesha ule mfereji, kwakua alijiona mweupe mwenye tako,paja na guu la bia basi alikataa katakata kwani alitaka kuutangazia umma uzuri wake asijue vizuri huaribika.

Hapo nilimwita Malaya ajae alhamdulillah yametimia kuna mwana kajizolea huo mzigo kawaka ndani sisi tunaendelea kujipigia.
 
Back
Top Bottom