Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,699
- 9,777
Habari wanajamvi,
Kuna huu msemo umezidi kushamiri katika maeneo mengi tofauti! Ni kuhusiana na kushushwa thamani ya kuwepo katika ndoa kwa wanawake aina ya thate plus!
Thate plus ni mwanamke wa aina gani?
Mtazamo wa wanaume walio wengi huwachukulia wanawake wenye sifa hizi kuwa wanafaa kwa ajili ya ndoa:
Angalizo kwa wanawake walioko Red Line (Danger zone)
Wanaume, mnawachukulia vipi wanawake aina ya thate plus kwa mtazamo wenu?
Kuna huu msemo umezidi kushamiri katika maeneo mengi tofauti! Ni kuhusiana na kushushwa thamani ya kuwepo katika ndoa kwa wanawake aina ya thate plus!
Thate plus ni mwanamke wa aina gani?
- Mwanamke kuanzia miaka thelathini na kuendelea, ingawa wanaume wengi huwahesabia kuanzia miaka 27
- Mwanamke mwenye mtoto au watoto aliyowapata pasi na ndoa ama maisha ya ndoa
Mtazamo wa wanaume walio wengi huwachukulia wanawake wenye sifa hizi kuwa wanafaa kwa ajili ya ndoa:
- Mwanamke mwenye elimu ya kawaida tu, asiye na elimu ya chuo kikuuu, maake waliomaliza vyuo vikuuu huonekana kutumika sana kingono
- Mwanamke asiye na kazi ama shughuli/biashara kubwa. Mwanamke mwenye kazi yake huleta kiburi ndani ya nyumba kwa mumewe
- Umri miaka 16 hadi 24, hawa huonekana kutopitia mikiki mingi ya kimaisha hasa katika swala zima la kimapenzi, tofauti na walio na umri mkubwa kwa kuwa wamekuwa wakomavu zaidi na wamepitia majaribu ya wanaume wengi
- Mwenye asili ya maisha ya kawaida, yasiyo ya kimaskini sana ama ya kitajiri! Wanaume huamini kuwa mabinti wa kikata zaidi wametumiwa zaidi na wanaume wengi ili kujipatia mahitaji yao, pia wale kitoka familia za kitajiri ni wababaishaji, mguu nje mguu ndani
- Mwenye elimu msingi, yaani ya kidato cha nne! Kwa sababu wanakuwa wameondoa ujinga ndani yao, wamejifunza ku-interact na watu! Kama zilivyo ajira za siku hizi za unesi kuwajali waliosoma diploma na ndivyo ambavyo wanaume wengi hupenda kuoa wasichana wadogo waliosomea diploma! hawana mambo mengi!
Angalizo kwa wanawake walioko Red Line (Danger zone)
- Ukipata nafasi kutoka kwa mtu serious ya kukuoa katika umri wako sahihi kabla ya kuwa thate mamaa mkubarie tu, angalau ufiche aibu utakayoipata kwa kukosa mume ama kuwa mke wa nne kwa mahali ya ugoro wa bibi badala ya khanga ya mama!
- Mwanaume halingiwi, thamani yake hupanda kila kukicha, thamani ya mwanamke hushuka kila kukicha! Sasa we jidai na hivyo vingereza vya I can't
Wanaume, mnawachukulia vipi wanawake aina ya thate plus kwa mtazamo wenu?