Hivi inakuwaje mtu ana fall kwa mwana JF. Ni ukwasi umezidi au ulimbukeni?

Status
Not open for further replies.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Mara nyingine unaweza sema mtu anamtania mwenzake lakini clearly unakuta jamaa liko serious kabisa linadondokea kwa id inayoonesha ni ya KE.

Sasa sijui ni mchezo wa kubahatisha kama anaweza kubahatisha id ya ke ambayo ni pisi kali anayotaka.

Na unakuta hata kipindi ana type mua umesimama kweli na kujipa matumaini.

Mna sahau mtu anaweza aka-pretend kuwa binti humu au unaweza rusha kamba wee siku umekutana nae hayuko vile ulivyokuwa unamdhania.

Apart from that ni ushamba sana kila unapoona ona ID ya kike una washwa washwa.

NOTE: KUNA PEDOPHILES HUMU, KUNA RAPISTS, KUNA MATAPELI.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom