Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za kutwa wana JF. Leo nawapa mbinu za hawa wake zetu/wapenzi wetu wanazozitumia hasa wanao fanya kazi mbali. Ilikuwa Jumamosi moja hivi nilikuwa kwenye harusi ya jamaa yangu mmoja hivi...
5 Reactions
97 Replies
12K Views
Habari wakuu, kama mada inavyosomeka hapo juu, Mimi ni kijana miaka 34 sasa nimeoa nina watoto wawili, Mwaka 2021 nilikutana na huu mchepuko katika harakati za utaftaji na tukaanzisha mahusiano...
6 Reactions
141 Replies
17K Views
Siku ya Valentines Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumbukumbu (memoria day) na sehemu nyingine ni (festum) maana yake siku kuu ya daraja la kwanza kwa kumkumbuka Padre...
4 Reactions
126 Replies
60K Views
Single Mother wanachangamoto sana, angalia hapa jinsi mzazi mwenzake anavyomuharibia mahusiano yake (Vitimbi).
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, Nina shemej yangu mmoja wa kike yuko serikalini, ni mchumba wa rafk yangu mmoja wa karibu anafanya kazi maliasili uko mkoani.Huwa anakuja Dar mara moja moja sana kwa mwezi. Huyu binti ni...
15 Reactions
158 Replies
12K Views
Wiki ilopita Mwanamke wangu alikuwa na ziara ya kikazi mikoani kwa gari ya ofisini kwao na wenzie watatu (jumla 4 na dereva wao) kwenda kukagua hesabu za vituo vyao vilivyopo uko mikoani. Siku ya...
33 Reactions
319 Replies
24K Views
Hivi ni kwa nini lugha inaonekana kukosa mvuto hasa kwenye suala la mapenzi? Utamwakaji wa maneno kama vile: nakupenda sana hauna mvuto kama vile '' i love you so much'' pia maneno kama vile '' i...
3 Reactions
238 Replies
32K Views
Aisee, bila ujanja, hawa viumbe hutowafaidi. Utaishia kujichukilia sheria mkononi hadi iishilie. Basi bhana. Wiki mbili zilizopita niliamua kumsarandia baada ya wanaume karibu wote kumshindwa...
44 Reactions
100 Replies
6K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano. Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao...
41 Reactions
249 Replies
66K Views
Isi unavyoweza, kutokana na ndoa kuwa ngumu kila dume lililopo kwenye ndoa kulalamika ooh namuhudumia lakini haniheshimu ananisaliti nk sasa kwangu nimekuja na mfumo wa fo4 fo4 two huu mfumo...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA. Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana. SIFA ZA WATU HAO 1.Wakiwa...
6 Reactions
11 Replies
972 Views
Mpaka sasa najuta sana kulisikia neno "TANESCO" masikioni mwangu. Basi bhana! Mida ya saa 12 niliwasili hapa Ubungo kwenye hii fly over ya Kijazi, pembezoni mwa jengo la mitambo ya umeme Nikiwa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Hawa viumbe wana shida ndugu zanguni. Muda huu tumetoka kuachana njia, yeye kaelekea kazini kwake na mimi naelekea mahali nikabadili hii suti yangu ili nivae vikali vyangu vya kutembezea nguo za...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Twende kwenye kisa: Mwaka 2022 mwezi September kuna binti nilivutiwa naye kutokana na kuwa na sura yenye nuru na tabasamu, shape 8 na trako la kwenda likiwa na tabia mbaya ya kunesa nesa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa. Baada ya siku mbili...
38 Reactions
249 Replies
12K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari tajwa, Niende kwenye mada isemayo utapeli wa mapenzi unafanyika siku ya Valentine Day. Kama mjuavyo mwezi huu wa pili tar 14 Huwa ni siku ya...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu mko poa? Miaka kadhaa ilopita mtaani kwetu huko mkoani tulipata Ugeni. Familia Bora kabisa ilihamia Mjini pale. mbali na Hayo familia Ile ilikuja na Zawadi! Zawadi Adhimu ambayo kila...
54 Reactions
207 Replies
33K Views
Habari za wakati huu Moja kwa moja niende kwenye mada husika maana huu uzi nitaleta na utajumuisha matukio mbalimbali kwenye maisha yetu ya ndoa. Moderators msiuchanganye wala kubadilisha title...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
- Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya. - Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa)...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu habari za blue monday! Labda niulize swali,hivi watoto wa kike karne hii ya 21 wanazaliwa wakiwa hawana "seal" au mambo ya tabia nchi yanafanya ziondoke zenyewe? Maana kwakweli nilishahaso...
11 Reactions
143 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…