Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Anawatoto watano sasa. Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita, akaacha watoto watano: wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3) kutoka mwisho anaumwa (Athma). Mwanaume akaondoka kachukua...
9 Reactions
89 Replies
4K Views
Usuli Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Wakati mwingine wanawake hutamka maneno mbele za waume/wapenzi/michepuko ambayo wao hudhani kuwa yanawajenga kumbe yanawaanika bayana...
4 Reactions
104 Replies
9K Views
Unaweza kuwa umemuita au kajileta mwenyewe kwa vimaneno vyao "baby nimekumisi" Sasa mpo getho usiku wote mwenzio hana habari nawewe. Yeye yuko uko Instagram, Facebook na Tiktok. Anasurf tu huku...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu kwema ? Kuna jambo huwa linanishangaza saana yaani katika familia yetu au baadhi ofisini nilifanya jambo linakuwa linaongelewa sana liwe baya liwe zuri yaani maneno yankua hayaishi...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari.. Nimetamani kushare kuhusu mwanaume limbukeni. Yule ambae anahisi akikupa ela ndo kamaliza kukupenda na kukujali. Ambae mali yake kila siku inaliwa na vijana wa mtaani, wachora kucha...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Wana jf nawapeni hii thread ni very critical Tulikutana na that guy o level mimi alikuwa mgeni mimi ndo niliye mpokea skonga na mtaani Kwa hiyo huo ndo ulikuwa mwazo wa urafiki wetu ilifikia...
8 Reactions
84 Replies
6K Views
Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu 1. Nina miaka 31 2. Mnene kiasi 3. Nina elimu ya degree niko idara ya elimu 4. Sina mtoto 5. Mweusi sio mrefu...
25 Reactions
117 Replies
6K Views
Unafanyaje kumaliza haja zako na isiwe dhambi kama upo nae mbali kutokana na changamoto mbalimbali za maisha Nimesema kwa wanandoa sio vinginevyo
20 Reactions
149 Replies
7K Views
Nikizungumzia mademu wenye hela sizungumzii hawa mayatima nazungumzia wanawake wenye pesa yao halisi. Kifupi hawa wanawake walicho bakisha kwao ni wapi watapata furaha, mtu wa kumuelewa na...
2 Reactions
111 Replies
5K Views
SHE’s DEAD [emoji2731]
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Najua kuna watu watabisha sana ila mwanaume hata kama mwanamke wake ageuze mahaba na yawe kama ya wacheza pornograph lazima tu mwanaume atafata tu hurka yake ya kucheat. Hata kama bado aoe wake...
0 Reactions
10 Replies
996 Views
Huwa najiuliza hii inakaaje yaan kila rafiki au marafiki nao wapata wanataka mashindano na vita namm. Mwanzo nilijua ni coincedence baadae nilipofanya Tathmini nikagundua ni pattern kabisa kua...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Natafuta dada au mama yeyote awe na watoto au la. Awe anajiheshimu na kujua majukumu ya kumtunza mme. Umri wowote mpaka miaka 35. Awe anajiweza kiuchumi sitaki wakuja kulialia bila kuchangia...
0 Reactions
7 Replies
693 Views
Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza? Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha...
4 Reactions
14 Replies
824 Views
ANGALIZO: HII NI SIMULIZI YA KUFIKIRIKA, NIMEITUNGA MIMI MWENYEWE ILI KUJIPIMA NAMNA YANGU YA UANDISHI. NIMEONA NIWEZE KUSHEA NA WADAU ILI KUONA KAMA ITAKUBURUDISHA, AU LAA, SO UKIVUTIWA NAYO...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku ya wanaume.lini Jamani navona ya wanawake tu mnasherekeaaaa Mkumbuke fathers day sio ya wanaume n ya wababa.....kama baba hioo sikuyakooo Muanze kudai siku zeenu wanaume
3 Reactions
9 Replies
685 Views
Maana kila nikitongoza Wadada anasema yupo kwa mahusiano. Sio poa Inaniumiza kichwa sana kupata ninayemhitaji. Chaajabu kuna wadada wanaonekana kunikubali asilimia zote hata sjawatongoza...
0 Reactions
1 Replies
363 Views
Ukitoa 'K' mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano. Kwenye birthday yake ulimnunulia zawadi, hela ya salon na kumtoa outing, Kwenye birthday yako zawadi anayokupa ni kukuchanulia mapaja...
39 Reactions
212 Replies
7K Views
Wasalamu, ukiangalia Katika familia nyingi wamebaki kina mama. Kina baba wanakufa sana. Hivi sababu ni nini? Mimi naanza na zangu. 1. Majukumu mazito ya kulea familia 2. Tabia hatarishi Katika...
0 Reactions
8 Replies
641 Views
Kuna watu kwa nje wanafurahia mahusiano ila ki uhalisia wanateseka sana na anayewatesa sio mwingine bali ni huyu mtu ambaye SIKU UKISEMA HUNA TU BASI HAKUNA MAHUSIANO 😔 Je, upo kwenye mahusiano...
5 Reactions
4 Replies
604 Views
Back
Top Bottom