Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za humu...Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa Dar es Salaam....Dhumuni la kuja humu ni kuhusu hali yangu kimapenzi ambapo inanitia...
7 Reactions
67 Replies
8K Views
Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba. Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code...
16 Reactions
225 Replies
11K Views
Wanajamii mko pouwaa.Kuna swala la kiufahamu kuhusu mtoto anayepatikana mzazi (Baba)akiwa mzee na ambaye anapatikana mzazi (Baba)akiwa kijana je kibaiolɔjia wanawezatofautiana ?Ni swala ambalo...
1 Reactions
6 Replies
447 Views
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2022. Naamini mmeanza Mwaka salama. Ebwana eeh, nawapongeza sana wale Wanaume walioweza kuishi bila kuchepuka kabisa. Mimi niliweza kwa kipindi flani hivi, ila...
71 Reactions
135 Replies
13K Views
Wakuu, natoa angalizo la Wazi kabisa!! Hapo Morogoro mjini haswa Maeneo iliyopo Hotel ya Morena na kwa nyuma yake kule (Majumba ya Mawe) na Samaki Samaki... Kwanza haya maeneo yana wanadangaji...
97 Reactions
257 Replies
43K Views
Wakuu Leo nikiwa bize sana dukani, nakuja kustuka Simu yangu ya private ina missedcall namba ngeni ya tigo inaishia na 900, ikabidi kuipigia haraka. Simu imepokelewa, sauti ni ya wife, namuuliza...
38 Reactions
332 Replies
25K Views
Huyu demu toka nimeacha kumpa pesa ameanza ujinga. Jan ghafla tu anasema tuachane. Nimemwambia aache huo upuuzi kabisa. Alipaswa anipange siyo ghafla tu utadhani anadondosha glass au jiwe. Mimi...
16 Reactions
23 Replies
2K Views
Previous Emojis kwenye simu nyingi utakuta kuna manyunyu matatu ya maji likifutiwa na biringanya huwezi kuta emoji za muda (time is money). huwezi kuta emoji za vitabu (kutoa ujinga), n.k Emoji...
2 Reactions
2 Replies
638 Views
Kuna binti mmoja nilipata kujuana nae baada ya kukutana kwenye kazi ya muda ambayo tuliifanya kwa muda wa miezi 6. Baada ya ile kazi kuisha kila mtu aliendelea na harakati zake zingine lakini...
10 Reactions
58 Replies
4K Views
Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Haya mje mnipe mbinu za kutumia nisipate mimbaa Jamaa ataingia usiku sana tupo tunachart hapa nimemuuliza kuhusu sex kasema we lazima tufanye nikampa mashart ya kupima na kutumia kinga yaani...
12 Reactions
119 Replies
5K Views
Nahisi kuchanganya sana, hukumu tar 8 mwezi huu, shida yangu sio kuachana naye au kwamba siwezi maisha bila yeye bali naumia sana swala kugawana mali kichwa inawaka moto na katika ukweli amenikuta...
68 Reactions
426 Replies
22K Views
Naomba niweke mada mezani kutokana na yaliyonisibu Mimi, nilikuw ni kijana mtiifu, mwaminifu na mchamungu lakini baada ya kujiingiza kwenye kamari za mitandaoni hasa hasa kasino nilipoteza Kila...
5 Reactions
9 Replies
911 Views
Jambo? Baada ya kupigwa na mwiko wa kichwa na Single Mother hatimae Baba wa kufikia amemuomba Wife wake asimpige tena - Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia Ama kweli mapenzi ni...
2 Reactions
4 Replies
635 Views
Ndiyo ilivyo kwa mwanamke wa leo hakika anadanganyika kirahisi mno mbele ya mwanaume. Sio ajabu kwa siku hizi inachukua juhudi kidogo sana kwa mwanaume kulala na mwanamke. Mwanaume yeyote ikiwa...
27 Reactions
138 Replies
8K Views
Kwema wakuu, Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Nimekupenda/ kukutamani nimekuvuta kwa hela nawe ukavutika,nikakutunza,nikakutumia vya kutosha mpaka nikawa sioni tena jipya kutoka kwako. Siku nikitaka kubadili ladha,tafadhali usinikatalie...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna wanaume wanahisi wanawake hawaumii sana kama wao kuhusu suala la usaliti, ukweli ni kuwa: Siku mkeo anakukamata na usaliti hiyo ndo siku umemtafutia mchepuko. Mke wangu akijafanya ujinga...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Japo sisi wanawake tunafake.Tunafanya maisha kuwa rahisi. Wanaume wengi mabubu hadi flavour inaisha. Pigeni kelele bna Kelele ina raha yake eti
6 Reactions
519 Replies
59K Views
Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana...
13 Reactions
107 Replies
5K Views
Back
Top Bottom