Chats wanazo zipenda mademu wenye hela

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,289
Nikizungumzia mademu wenye hela sizungumzii hawa mayatima nazungumzia wanawake wenye pesa yao halisi.

Kifupi hawa wanawake walicho bakisha kwao ni wapi watapata furaha, mtu wa kumuelewa na kuelewana .

Ukiwapatia code zao hakuna kitu kizuri utakosa.

Ili uwe karibu nao lazima na wewe uwe unajiweza kiasi chake. Kifupi usiwe marioo.

Sina mengi ya kusema ila thank you very important.

Screenshot_20240312-195905_Messages.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom