Rafiki aligeuka kuwa mnafiki kisa mwanamke

Daspauls 238

Member
Mar 7, 2024
30
55
Wana jf nawapeni hii thread ni very critical

Tulikutana na that guy o level mimi alikuwa mgeni mimi ndo niliye mpokea skonga na mtaani Kwa hiyo huo ndo ulikuwa mwazo wa urafiki wetu ilifikia hatua our fellow students wakatuonea wivu kutokana na lifestyle yetu

Tulipoizoea shule yeye ndiye alikuwa wa kwanza kupata dem alihustle sana kumpata huyo dem he was reach a point of give up mimi ndo nikamshauri aendelee kumwaapproach Kwa sababu alimpenda sana hatimaye dem akarespond ikawa couple nzuri sana shuleni

Ikafika zamu yangu Sasa Mimi nilimtongoza dem fulani as a joke kadri siku zilivyoendelea nikampenda sana at the maximum amount lakini shida ikaja cause kipindi hicho alitongozwa many boys hapo shuleni na mtaani kwakuwa nilikuwa mwanafunzi mwenye uwezo kidogo darasa so hakunitema but nawengine aliwachuna Hadi wa ka give up alinizungusha Hadi tukafikiay kidato cha 3 ambapo nilikeep much effort kumwaapproach hadi niliamua kumtumia rafiki yangu kipenzi cause he was become more experienced in such issues

Kweli alipoanza kumshawishi huyo dem maendeleo yalioneakana dem alikubalia at the short time kwa kuwa huyo dem alikuwa peace kali hapo shuleni ilikuwa fahari kubwa sana kwang mapenzi yalikuwa ya moto

Ushemeji ndo ukaanza sasa

Itaendelea soon
 
Back
Top Bottom