Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

Xi Jinping

JF-Expert Member
Jun 14, 2023
525
1,816
Ukitoa 'K' mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano.

Kwenye birthday yake ulimnunulia zawadi, hela ya salon na kumtoa outing,

Kwenye birthday yako zawadi anayokupa ni kukuchanulia mapaja na kukupa uchi.

Siku ya sikukuu ulimnunulia nguo mpya, wig, hela ya salon na vizawadi vya hapa na pale,

Kama kawaida zawadi yake kwako ni kuchanua mapaja na kukupa K.

Siku ya wapendanao ulimpea pesa, maua na dinner moja matata,

Tena kama kawaida yake zawadi ni ileile kukupea tupu yake.

Atakuomba pesa ya matumizi, vocha, gesi, king'amuzi n.k yeye atakupea mbususu kama asante.

Umemuoa amekua mke wako bado hana mchango wowote kwenye familia na ndoa,

Mchango wake tena ni uleule uchi!!

Siku ukimpiga chini utamsikia "hivi yote niliyokufanyia leo ndio unanitenda hivi? Ipo siku utanikumbuka."

Hivi malaya kama huyu ana mchango gani mpaka awe na nguvu ya kusema hivyo yaani kunipa uchi ndio yote aliyonifanyia eti nimkumbuke kisa mbususu used 😅
 
Siku ukimpiga chini utamsikia "hivi yote niliyokufanyia leo ndio unanitenda hivi?"

Hivi malaya kama huyu ana mchango gani mpaka awe na nguvu ya kusema hivyo yaani kunipa uchi ndio yote aliyonifanyia eti nimkumbuke
kupitia kuchanua miguu ndo kulisababisha wewe kuwepo.

vipi kwa aliyekuzaa wewe tukisema na yeye ni Malaya pia, je itakuwa ni sawa?
 
Wewe kama demu wako anakupa mbunye kama zawadi ni wewe wengine tunanunuliwa vitu vikubwa notworth to mention be wise unapochagua mwanamke
Wa hivi mara nyingi mnakuwaga "Motivational speaker", kiuhalisia mwanamke hata akikununulia zawadi zawadi anategemea kitu baadae, ukitaka kuamini ufulie au ufukuzwe kazi ndo utashangaa hata zawadi zinafika mwisho. Wanaopewaga zawadi na mwanamke maisha yao yote ni watoto wa vigogo kama JK, Lowassa, etc ambao huwa hawaishiwi.., labda mwanaume azingue, huwezi sikia mke wa Ridhiwani au Freddy Lowassa kazingua kwasababu ana uhakika wa LIFETIME.
 
Sikupingi mkuu
 
Mkuu sema tu "mwanamke wangu hana mchango wowote kwenye mahusiano yetu".

Hasty generalization is a logical fallacy. Kwakuwa wakwako amekufanyia hivyo basi uki generalize kuwa wote ndio hufanya hivyo basi ujue unakosea sana.

Infact kuna wanaume ambao katika mahusiano wao wanachoweza ku offer ni sex tu. Hiyo ipo wazi, wenyewe wanajiita msingi kiuno, marioo.

Inategemea umekutana na mtu wa aina gani. Kuna wanaume vimeo na wanawake vichomi.

Lakini watu wazuri wapo pia. Stay calm usiwe na papara utamgundua mtu tu mapema.
 
Bro labda unasura mbaya sana/haujijari/hauna muonekano kama unasura mbaya sana na hauna muonekano basi jitahidi kujijari na kujibrand otherwise utagharamikia sana mbunye...katika maisha yangu mpaka sasaivi ni mtu mzima abv35 sijawahi kuhonga lakini mavitu niliyowahi kuhongwa na mapis yanaweza kujaa nyumba nzima..siri kubwa ni kujijari kimuonekano lakini pia usisahau mwanamke anapenda kupendwa na kusikilizwa ukiwin hivyo vitu mbona hutakaa kulalamikia wanawake. Pia sidate wanawake masikini
 
Mkuu sema tu "mwanamke wangu hana mchango wowote kwenye mahusiano yetu".

Hasty generalization is a logical fallacy. Kwakuwa wakwako amekufanyia hivyo basi uki generalize kuwa wote ndio hufanya hivyo basi ujue unakosea sana.

Infact kuna wanaume ambao katika mahusiano wao wanachoweza ku offer ni sex tu. Hiyo ipo wazi, wenyewe wanajiita msingi kiuno, marioo.

Inategemea umekutana na mtu wa aina gani. Kuna wanaume vimeo na wanawake vichomi.

Lakini watu wazuri wapo pia. Stay calm usiwe na papara utamgundua mtu tu mapema.
Hadi utapeliwe kwanza ndio utashtuka? Vilio hauvisikii
 
Back
Top Bottom