Kwanini kwa wanawake wengi top three ni maokoto

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,751
3,380
Unaweza kuwa umemuita au kajileta mwenyewe kwa vimaneno vyao "baby nimekumisi"

Sasa mpo getho usiku wote mwenzio hana habari nawewe. Yeye yuko uko Instagram, Facebook na Tiktok. Anasurf tu huku anachekelea.

Usiku kuchwa ni yeye na simu simu na yeye. Hana hata habari na huyo aliyedai kammisi. Ikifikia anataka kusepa anadai umwachie maokoto mezani.

Jamani sasa hapo ulinimisi au ulimisi maokoto yangu? Muwe wakweli kwa watoto wa watu.

Kwa mambo kama hayo nyinyi wenyewe mnawaongeza kataa ndoa.
 
IMG_6761.jpeg
 
Maisha mliotufundisha sikuwa hivi nilimefundishwa na babes wangu wa before. Mbwa wale koko sana nilijitoa hadi pumzi. Ila walioa mbwa wenzao na wamezaa mbwa wao. Saivi huna hela kwendraaa huko ni borq ninubue didlo
Kumbe ndio maneno yako hivi?Ndoa utasikia kwenye cherekochereko TBC 1.... watoto ni angels sio mmbwa
 
Unaweza kuwa umemuita au kajileta mwenyewe kwa vimaneno vyao "baby nimekumisi"

Sasa mpo getho usiku wote mwenzio hana habari nawewe. Yeye yuko uko Instagram, Facebook na Tiktok. Anasurf tu huku anachekelea.

Usiku kuchwa ni yeye na simu simu na yeye. Hana hata habari na huyo aliyedai kammisi. Ikifikia anataka kusepa anadai umwachie maokoto mezani.

Jamani sasa hapo ulinimisi au ulimisi maokoto yangu? Muwe wakweli kwa watoto wa watu.

Kwa mambo kama hayo nyinyi wenyewe mnawaongeza kataa ndoa.
Hapa ni maokoto tu mbwa nyie maana hamna shukrani wala fadhila kwa wanaowasaidia . Na mwaka ndio wangu nitawatawanya kama fimbo ya musa
 
Kumbe ndio maneno yako hivi?Ndoa utasikia kwenye cherekochereko TBC 1.... watoto ni angels sio mmbwa
Wewe ndio utaisikia redio tanzania bora mie naona chereko chereko nikusanue tu nimeolewa happy married na nitaolewa tena natena nakusanya maokoto hadi nifie boma fulani miaka fulani iwe mwisho. Wa this lady juzi walitaka kuniua hawajui hii damu ni ya kiganga sio rahisi kuliwa
 
Unaweza kuwa umemuita au kajileta mwenyewe kwa vimaneno vyao "baby nimekumisi"

Sasa mpo getho usiku wote mwenzio hana habari nawewe. Yeye yuko uko Instagram, Facebook na Tiktok. Anasurf tu huku anachekelea.

Usiku kuchwa ni yeye na simu simu na yeye. Hana hata habari na huyo aliyedai kammisi. Ikifikia anataka kusepa anadai umwachie maokoto mezani.

Jamani sasa hapo ulinimisi au ulimisi maokoto yangu? Muwe wakweli kwa watoto wa watu.

Kwa mambo kama hayo nyinyi wenyewe mnawaongeza kataa ndoa.
forget about girls broo, kuwa na pesa mingi, anyway TAFUTA DEM WA KISHUA ACHANA NA HAWA WENGINE WEHU.
 
Ukiona akija kwako Yuko busy na insta na simu bado una safari sana ya kutafuta Hela,akienda Kwa mwenye Hela huwa busy kumkata kucha na kumkandakanda miguu Ili mradi asubuhi muamala uwe mzito....Tafuta Hela mleta mada
 
Siwezi saivi nitajitahidi niwe mkiniona tu pesa mtoe wenyewe shenzi type eti maokoto ulitaka ule bure unaioshaga ka sabuni au kazi yako nikuitumia tu nakuchapa lapa
Dada mbona majaribu yanataka kukutoa kwenye reli. Kama hakua wako huwezi kulazimisha madam. Au hata angekuoa yamkini msingedumu. Shukuru Mungu kwa kukuepusha, songa mbele, behave wanaume wapo tu utaolewa ukimpata anaekufaa
 
Back
Top Bottom