Women day ok mens day lini?

Women day ok mens day lini?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Siku ya wanaume.lini Jamani navona ya wanawake tu mnasherekeaaaa

Mkumbuke fathers day sio ya wanaume n ya wababa.....kama baba hioo sikuyakooo


Muanze kudai siku zeenu wanaume
 
Wanaodai siku ya mwanaume duniani ni wapuuzi....

Mapambano kwa mwanaume ni kila siku na mafanikio yake hayawezi kusherehekewa kwa siku moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom