Sababu zinazofanya wanaume wafe mapema

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
525
1,100
Wasalamu, ukiangalia Katika familia nyingi wamebaki kina mama. Kina baba wanakufa sana.

Hivi sababu ni nini? Mimi naanza na zangu.

1. Majukumu mazito ya kulea familia

2. Tabia hatarishi Katika maisha(eg kuvuta sigara sana,pombe kupitiliza)

3. Ejaculation for men

4. Stress kupita kiasi

5. Low Immune System in men

6. Risk Takers

7. Kazi hatarishi

8. Cariovarscular deseases

9. Suicide

10. Differences in Chromosomes or Genetic Levels.

NB Wanawake wanachukua tahadhari ya afya zao kuliko wanaume.
 
Siku hizi ni 50/50 wana wa kike nao wanakufa mapema kwa kujiingiza kwenye majukumu na mambo ya kiume.
 
Mfano angalia maraisi wetu wengi wamekufa wanawake wao wapo
Wewe unaweza kuoa Mke ambae anakuzidi umri?

Mara nyingi Wanaume tunaoa Wanawake wadogo kiumri unaweza kukuta Mwanaume ana 30yrs ameoa Mke wa 19yrs.
 
Back
Top Bottom