Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta mke mwenye sifa hizi; umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote...
2 Reactions
22 Replies
389 Views
MASWALI YA MSINGI KABLA HUJAAMUA KULETA KIUMBE HAPA DUNIANI; 1. Kwa nini umeamua kumleta kiumbe hapa duniani? 2. Huyo kiumbe/mtoto una mission yoyote unayotaka aje aiendeleze? 3. Faida zipi...
6 Reactions
28 Replies
343 Views
Wakuu Kuna mwanamke nimekutana naye nikasema nijaribu kuomba namba nilivyomuomba no akanambia naujua tu unataka uni tongoze halafu akanipa no. Hivi wakuu huyu dada alaikum ana maanisha Nini...
4 Reactions
23 Replies
252 Views
Natumai mko salama salimini aisee shikamooni nisiwachoshe sana sasa leo nimekaa nikawaza nani atanifaa kutoka naye out tukavinjari maisha ni haya haya. 1.Tukale nyama choma 2.Tunywe(japo mi...
11 Reactions
105 Replies
771 Views
Jumapili njema wakuu, nimeenda church Leo kidogo. Nimetoa sadaka ya laki sita baada ya kupiga diesel ⛽ za kutosha kwenye skavetaa yangu kwa ajili ya kufutiwa dhambi maana hali mbaya sana, baada...
6 Reactions
23 Replies
367 Views
Kama ni watoto wanazaliwa weusi plus.bora tu uoe m bongo mwenzako maana wana unafuu. kama nikubadilisha oa hata mzungu maana wao weupe.ila mwafrika ambay...
2 Reactions
4 Replies
109 Views
Naam habari ya mjini kwa sasa mimba anapelekewa mtafutaji na mimba inaletwa ndani ya ndoa na wanaume wengi mnalea watoto sio wenu kama una uhakika mtoto unaemlea ni wako hebu sema umeuaje[emoji16]
1 Reactions
14 Replies
142 Views
Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali. Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini? Ni wanataka...
15 Reactions
184 Replies
2K Views
Kwenye jamii yetu once mwanaume umepita pita na wanawake kazaa au umechelewa kuoa kwa mujibu wa jamii unanza kuonekana mhuni, utasikia yule mbaba mhuni kweli tabia zake za hovyo. Je mwanaume...
1 Reactions
4 Replies
170 Views
Shalom Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia 👍 Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa...
5 Reactions
23 Replies
239 Views
Yan kwanza wanakuwaga na ngozi lain kinoma.kwanza demu awe mweus na hana nyash hapo n uzinguzi.ila nyie weupe wenye mazaga mnatuvuruga mbaya.
3 Reactions
24 Replies
372 Views
Mara nyingi watu wakiachana wanakuwa hawapendi kuwasiliana tena na kila mtu anajaribu kuendelea na maisha yake, kujijenga upya na kuacha yaliyopita yabaki kuwa sehemu ya historia yao na wengine...
12 Reactions
221 Replies
3K Views
Hata kama ana nyash au ana uweupe wake tu unampa maksi.ila hao weusi sijui mnasubiri nin. Demu mweupe ukimwangalia tu kweny upaja na madodo n unyama mtupu.
3 Reactions
15 Replies
165 Views
Ukimuoa mwanamke mwenye umri wa miaka 27 hadi 30, na ukichukulia kuwa alianza mahusiano ya kimapenzi akiwa na miaka 18, kisha akawa na wastani wa wapenzi watatu kila mwaka, hesabu zinaweza...
3 Reactions
18 Replies
361 Views
Tukisha pata tunachokitaka tunasepa zetu.Tunatumia pesa kuwarubun wanawake tukiwadanganya tunawapenda ila moyon haumpendi. ukisha pata zaga unam'block hauna mda naye.huu ndoh moto wa masela na...
4 Reactions
27 Replies
233 Views
Leo nilikuwa nimepanda basi nikielekea kariokoo.ila kwenye siti nilikuwa nmekaa karibu na msela mmoja hivi . ila kwa umbali nilimwona akiperuz JF na leo...
11 Reactions
48 Replies
706 Views
By Annika Harris (The Frisky) -- We know an awful lot about women and how to treat and please 'em, so we plan to pass that knowledge down to our sons. Young men should be taught to...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kumekua na Mijadala na Hoja Mtambuka Kwa Vijana mbalimbali Kuulizia Namna Ya kumfanya Mwanamke Aridhike, Si 6 kwa 6,Si Pesa,Si Muda,Si kuwa Family Man Wala lolote Kwahiyo Usiangaishe akili yako...
6 Reactions
21 Replies
348 Views
Wakuu habari zenu. Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka...
42 Reactions
409 Replies
18K Views
Mama mkwe wangu namheshimu sana kama mama yangu ila kitu napishana naye ni pale anapotaka kuingia kuwa mzazi wa watoto wangu. Ananiingilia sana kwenye malezi, kila nikifanya maamuzi kwa watoto...
7 Reactions
24 Replies
613 Views
Back
Top Bottom