Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ndugu zangu Naomba hii nipate uzoefu kutoka kwa wajuzi wa mambo, Inakuaje mtu ameolewa halafu anadai akopeshwe pesa lakini anakupa shariti la mmeo asifahamu kama kachukua pesa. Swali ni...
7 Reactions
53 Replies
733 Views
Wadogo zangu wa 2005 eti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣🤣
4 Reactions
87 Replies
1K Views
Wanaume wadhaifu/Nice guys kwenye mahusiano au ndoa ni wale wanaokosa uwezo wa kusimama kama viongozi, kufanya maamuzi sahihi, au kubeba majukumu yao ya kihisia na kifamilia. Udhaifu huu hapa...
3 Reactions
1 Replies
223 Views
Nina miaka 30 sitaki vibint maana mimi mzee nataka singo matha wa watoto wawil alafu niongeze wawil wa kwang wote watakuwawakwangu. nataka atakaye ridh...
1 Reactions
16 Replies
222 Views
Naona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa. Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke...
8 Reactions
46 Replies
540 Views
Singapore, mvinyo, na mrembo.nakula Maisha hayahitaji zaidi ya haya.na maisha polepole... na mrembo mzuri kando yangu 🍷🇸🇬
2 Reactions
18 Replies
396 Views
Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu...
13 Reactions
117 Replies
1K Views
Wengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu...
14 Reactions
30 Replies
398 Views
Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na...
9 Reactions
17 Replies
348 Views
VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli. Hivi mmekosa wazazi wa...
5 Reactions
39 Replies
538 Views
Alikuwa anakaa Magomeni, sasa anajua kuwa mi ni mtu wa mguu na njia hasa nchi za watu huko nchini sikai sana. so akajua kuwa ntakuwa na mapene, basi akawa anahangaika sana kunitega maana tulikuwa...
10 Reactions
57 Replies
2K Views
Kuna dada nampenda sana, kila nikimueleza anakaa kimya na kujing’atang’ata tu. Je, ananipenda au? Nipeni ushauri wakuu. NAWASILISHA"
10 Reactions
104 Replies
1K Views
Kama Mlivyoona Kwenye Kichwa Hapo Juu Nataka kushea Story ya Maisha YANGU Kidogo Kama watu mtapata namna ya Kujifunza au kuburudika sawa Tuu.....ila story Ni ya kweli lakini Nitaichakachua kwa...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Mwaka flani nlienda Tanga kikazi. Nikakaa mwezi na nusu Hotel. Nilifanikiwa kupata mtoto mmoja mkali wa Kidigo. Sura nzuri kifua kimevimba hakuwa sana na Tako lakini si haba alikuwa akijua mahaba...
16 Reactions
46 Replies
4K Views
Ni zile aina ya ndoa mwanaume anatafutiwa mke na wazazi, ndugu wa wazazi au ndugu zake watu wazima.
6 Reactions
43 Replies
808 Views
Usije ukamwaga mpaka nikuambie 😭 Hii nikauli nliyokua naambiwa namkewangu mwaka 2025 lakini yote kwa yote tuliachana Kwa Sasa nibora nizae na mtuu kuliko kuoaa 🙏. Je ulishawahi ambiwa hii kauli
10 Reactions
31 Replies
692 Views
Poleepolee utasemaa yoote mama mkweee Hivi lile gari walikupatia kadi ama ndioo ulikuwa usanii na nkkweoo 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 nchitamuhiii
4 Reactions
7 Replies
428 Views
Mdau hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano ?
0 Reactions
3 Replies
118 Views
..............UTAFITI ............ Nimefanya utafiti nimegundua kwamba, Kuoa siyo jambo jema kwani kuoa ni kumleta mtu nyumbani kwako Aje kula pesa zako halafu azae marafiki zake...
14 Reactions
57 Replies
831 Views
Uzi huu nimeuandaa baada ya kusoma post flani inatrend jukwaani muda huu kuna dada yetu anahisi mme wake anatumia ushirikina kujua mawasiliano yake ya watu anaoongea nao, Huenda ni kweli lakini...
59 Reactions
149 Replies
27K Views
Back
Top Bottom