NIMEKUTA KIJANA MMOJA AKANIAMBIA HIVI
Hivi mapenzi yakoje?
unajua huwezi kujiuliza kama hujawahi kutokewa na kitu kama hichi.
anayekungangania humpendi kumwambia unaogopa kwani hata ukionyesha...
:)
An angel asked me a reason why I care for you so much. I told her I care for you so much coz there's no reason not to.
First time I saw you, I was scared to touch you. First time I...
Lucy's brother had got engaged with his fiancée for 3yrs now and they are going to get married on December this year. These two couples love each other very much. Lucys brother lives in DAR and...
Mpenzi
Hujambo huko ulipo ? nadhani wewe ni mzima sana tena hujambo unaendelea vizuri tu , mimi sina mashaka yoyote juu yako mashaka niliyonayo ni jinsi tu unavyonimiss , najua huwa unanimiss...
wakuu,
kesho nachukua likizo kidogo ya wiki kadhaa hivyo nitakua mbali kidogo kwenye mapumziko maalumu na wifi/ shemeji yenu!.
so nawatakia kila la kheri, muendeleze gurudumu ndani ya JF.
luv...
One Friday morning, Mugo-Wa-Kibiro woke up hurriedly and prepared for work .He thanked God for it was Friday!!!
Mugo-Wa-Kibiro worked in a busy institution and was expected early at work. His...
Hali hii ndiyo inayosababisha wanaume wajikute katika madhila yafuatayo:
1. Kuchelewa kuoa au kuoa wasiyempenda, wanasubiri tu mwanamke yeyote atakayejipeleka ndiyo huyohuyo. Manung'ayembe...
Wadau, ni kweli matiti mengi ya kina dada zetu huanguka au kuwa makubwa kwa sababu ya kushikwa shikwa na kuchezewa au kuna sababu tofauti?
Naombeni ufafanuzi.
Ndugu wana JF wenzangu kunajambo linanisumbua sana kwa muda mrefu,kuna hiki kitu kinachoitwa kuchezeana kwenye mapenzi,ni muda mrefu nimekuwanikisikia wanawake wengi wakilalamika kuwa hivi...
Niko kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa kama miaka 3 hivi na tunategemea kufunga Dec kama mambo yatakuwa salama. Siku za hapa karibuni nimehisi Mr wangu anatabia za kishoga. Ana rafiki yake wa...
Vp Jamani, huyu mwaJF anayetembea kwa jina la Sinkala alishajipatia jiko?
Maana tulitangaziwa humu jamvini juu ya harusi yake kwamba ingekuwa August hii... au alikatishwa tamaa na vitisho vya...
jamani nisaidieni, mimi ni mdada mwenye miaka ishirini na nne ambaye nina mahusiano na mkaka mmoja kwa miaka sasa ni miwili hivi. tatizo langu ni kwamba huyo kaka alikuwa na mke na akanambia ana...
Kabla ya kukiri Hadi kifo kitakapotutengenisha au hata kabla ya kukubali kuvishwa pete ya engagement kuna maswali muhimu sana (hard questions) ambayo unahitaji kujiuliza na kwa njia hiyo unaweza...
Katika utafiti wangu inaonyesha wanyama wengi wanatoa harufu fulani kuvutia wapenzi.
Nilikuwa najiuliza ni kitu gani binadamu wa mwanzo walikuwa wanatumia katika kuvutia mapenzi. Baada ya...
Friday, September 11, 2009 4:24 AM
Jamaa mmoja wa nchini Marekani ili kukwepa manyanyaso na masimango ya mke wake aliamua kuiteka benki na kuwasubiria polisi waje...
To love, honour and obey in Mali
BBC News Online
By Martin Vogl
BBC News, Bamako
A new family law in Mali is causing a furore, partly because it no longer stipulates that wives have...
Wana jamii mimi leo nimeona niwapatie zawadi ya wikiendi wale walio katika unyumba.Japo zawadi yenyewe kiduchu lakini nafikiri itawafaa.
kuna tatizo katika jamii za wana ndoa au hata wale walio...
Jinsi ya kuzuia kuzozana kusichafue (contaminate) ndoa yako
Kuzozana mara kwa mara katika ndoa huweza kusababisha contamination ya mahusiano hasa ndoa.
Kama wewe na mwenzi wako mmejikuta mara kwa...
Now that kuna kusingiziana sana kwamba mtu kabakwa, inapendekezwa
contract hii, isainiwe kabla ya watu kufanya tendo la ndoa!
CONSENT FORM SIGNED BEFORE SEXUAL INTERCOURSE
This certifies that...