Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

:) An angel asked me a reason why I care for you so much. I told her I care for you so much coz there's no reason not to. First time I saw you, I was scared to touch you. First time I...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Lucy's brother had got engaged with his fiancée for 3yrs now and they are going to get married on December this year. These two couples love each other very much. Lucy’s brother lives in DAR and...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mpenzi Hujambo huko ulipo ? nadhani wewe ni mzima sana tena hujambo unaendelea vizuri tu , mimi sina mashaka yoyote juu yako mashaka niliyonayo ni jinsi tu unavyonimiss , najua huwa unanimiss...
0 Reactions
4 Replies
45K Views
wakuu, kesho nachukua likizo kidogo ya wiki kadhaa hivyo nitakua mbali kidogo kwenye mapumziko maalumu na wifi/ shemeji yenu!. so nawatakia kila la kheri, muendeleze gurudumu ndani ya JF. luv...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
One Friday morning, Mugo-Wa-Kibiro woke up hurriedly and prepared for work….He thanked God…for it was Friday!!! Mugo-Wa-Kibiro worked in a busy institution and was expected early at work. His...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hali hii ndiyo inayosababisha wanaume wajikute katika madhila yafuatayo: 1. Kuchelewa kuoa au kuoa wasiyempenda, wanasubiri tu mwanamke yeyote atakayejipeleka ndiyo huyohuyo. Manung'ayembe...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Wadau, ni kweli matiti mengi ya kina dada zetu huanguka au kuwa makubwa kwa sababu ya kushikwa shikwa na kuchezewa au kuna sababu tofauti? Naombeni ufafanuzi.
0 Reactions
38 Replies
14K Views
Ndugu wana JF wenzangu kunajambo linanisumbua sana kwa muda mrefu,kuna hiki kitu kinachoitwa kuchezeana kwenye mapenzi,ni muda mrefu nimekuwanikisikia wanawake wengi wakilalamika kuwa hivi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Niko kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa kama miaka 3 hivi na tunategemea kufunga Dec kama mambo yatakuwa salama. Siku za hapa karibuni nimehisi Mr wangu anatabia za kishoga. Ana rafiki yake wa...
0 Reactions
82 Replies
12K Views
Vp Jamani, huyu mwaJF anayetembea kwa jina la Sinkala alishajipatia jiko? Maana tulitangaziwa humu jamvini juu ya harusi yake kwamba ingekuwa August hii... au alikatishwa tamaa na vitisho vya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
jamani nisaidieni, mimi ni mdada mwenye miaka ishirini na nne ambaye nina mahusiano na mkaka mmoja kwa miaka sasa ni miwili hivi. tatizo langu ni kwamba huyo kaka alikuwa na mke na akanambia ana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kabla ya kukiri “Hadi kifo kitakapotutengenisha” au hata kabla ya kukubali kuvishwa pete ya engagement kuna maswali muhimu sana (hard questions) ambayo unahitaji kujiuliza na kwa njia hiyo unaweza...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Ni sahihi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika utafiti wangu inaonyesha wanyama wengi wanatoa harufu fulani kuvutia wapenzi. Nilikuwa najiuliza ni kitu gani binadamu wa mwanzo walikuwa wanatumia katika kuvutia mapenzi. Baada ya...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Friday, September 11, 2009 4:24 AM Jamaa mmoja wa nchini Marekani ili kukwepa manyanyaso na masimango ya mke wake aliamua kuiteka benki na kuwasubiria polisi waje...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
To love, honour and obey in Mali BBC News Online By Martin Vogl BBC News, Bamako A new family law in Mali is causing a furore, partly because it no longer stipulates that wives have...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamii mimi leo nimeona niwapatie zawadi ya wikiendi wale walio katika unyumba.Japo zawadi yenyewe kiduchu lakini nafikiri itawafaa. kuna tatizo katika jamii za wana ndoa au hata wale walio...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jinsi ya kuzuia kuzozana kusichafue (contaminate) ndoa yako Kuzozana mara kwa mara katika ndoa huweza kusababisha contamination ya mahusiano hasa ndoa. Kama wewe na mwenzi wako mmejikuta mara kwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Now that kuna kusingiziana sana kwamba mtu kabakwa, inapendekezwa contract hii, isainiwe kabla ya watu kufanya tendo la ‘ndoa’! CONSENT FORM SIGNED BEFORE SEXUAL INTERCOURSE This certifies that...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
karibu kila neno tunalotumia siku hizi linamaanisha pia sex wakati mwingine huwa najiuliza kwa nini?????? au labda jamii inawaza sana sex?????? kula.........analiwa,anamla...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom