2009-11-05 12:14:00
Report monster husbands to me: First Lady
First Lady Salma Kikwete greets Chimala Township residents during her tour of Mbeya Region on Tuesday.By The Citizen...
Jamani kweli mahusiano ya kimapenzi ni magumu sometimes,
Hii nimeikuta kwenye site moja, mwanamama analalamika kuwa mumewe kamwambia njia yake imekuwa kubwa so she must do something maana...
Nimeachwa, nimechanganyikiwa, sina mwelekeo!
Kuvunjika moyo, kukatishwa tamaa, upweke, nk ni maneno yanayoelezea feelings za uzoefu ambao binadamu hupitia pale mahusiano yanapovunjika iwe...
</SPAN>
Young hulazimika kuvaa gloves anapokuwa karibu na mke wake.
Tuesday, November 03, 2009 8:33 AM
Mwanaume mmoja nchini Uingereza amedai kuwa na aleji na mke wake na mapigo yake ya moyo...
Ndoa zawagawa wabunge
Imeandikwa na Basil Msongo, Dodoma; Tarehe: 4th November 2009 @ 09:14
Habari Leo
MBUNGE wa Kibakwe, George Simbachawene, amesema, kumzuia mtoto mwenye umri wa miaka 14 au...
Hataki kuongea!
Tunaendesha Km 8 huku hatuongei, acha tu!
Swali:
Mimi ni mwanamke ambaye nipo kwenye ndoa sasa mwaka wa 8 nimekuwa nikitatizika sana na tabi ya mume wangu kushindwa kuongea...
Kuponya Maumivu ya Kuachana (3)
Wangekalea vizuri kasingekuwa kavuta bangi!Kuachwa (na mpenzi) ni tukio gumu na zito na huja na mabadiliko tofauti na kumpa mtu uzoefu wa aina yake, ni ngumu na...
Wandugu humu jamvini hebu mnisaidie hapa. Jana nilipotoka kazini kwangu nilipita sehemu na jamaa yangu tulisom wote chuo lakini tukapoteana kwa takribani miaka 7. Kwa hiyo katika kupat nafasi ya...
Hii inaweza isiwe njia sahihi ya kutafuta mwenza wa maisha kwa watu wengi sana kwenye forum hii lakini mimi naomba kwa sasa niitumie baada ya kutumia njia nyingine nyingi tu na kukumbana na...
Ningependa kujua hapahapa janvini, wewe uwe mwanaume au mwanamke, ungependa kuwa na watoto wangapi katika familia yako kama hujaanza kuzaa au kama unaeye mmoja tayari. Jibu baada ya kuangalia...
Ni jioni, tumepumzika, na mpenzi wangu, mke wangu,katoto ketu ka miaka nane katundu kweli. Basi kanaleta utundu wake, nakafokea, kanazidi, nikakasirika na kukaambia 'we mbona mtudu hivyo...
Unafanya kazi pamoja na mke wa Bosi , mara kwa anakukueleza how much she want your body ,ukawa unarusha na kutowa vijisababu , siku moja mupo ofisini peke yenu akakuvamia maungoni katika...
Mchumba asiye mwaminifu huwa mwenye ndoa asiyemwaminifu!
Swali:
Habari za kazi kaka naomba nisaidie naangamia kwa kuwa na mawazo yasiyo na msingi na kuumiza afya yangu, kweli nateseka mno...
Nielewesheni waungwana mathalani uko mbali Arusha mala ghafla bin vuu unaibukia kiwanja cha mwenzi wako DSM ,Mbeya ,Kigoma whatever kumfanyia suprise inapendeza katika kuimarisha penzi ??
Quote"...
Jamani wana JF naomba mnisaidie kwenye hili, kuna mchumba wangu jana kanipigia simu na kunifahamisha matokeo yake ya kidato cha 6 kuwa amepata I point 9. sasa nilimwambia akipata hiyo nitampa...
Bulgarian girl, 11, gives birth to her daughter... on her wedding day
Last updated at 9:38 PM on 02nd November 2009
An 11-year-old girl became one of the world's youngest mothers -...
...pamoja na ujanja wote anaoujua mwanaume, Mwanamke ni zaidi linapokuja suala la 'kuzidiana akili'...kwenye maisha ya urafiki, mapenzi na ndoa.
Unakubali au unakataa msemo huu? Kivipi?
Jadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.