Baba wa Watoto 11 Anaswa Akifanya Mapenzi na Mbwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba wa Watoto 11 Anaswa Akifanya Mapenzi na Mbwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dr. Chapa Kiuno, Dec 28, 2009.

 1. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 45 aliyetambulika kama N.I anashikiliwa na polisi baada ya kukamatwa akifanya mapenzi na mbwa.

  N.I ambaye ana mke na jumla ya watoto 11 alikamatwa akifanya mapenzi na mbwa huyo kwenye jengo moja jijini Istanbul ambalo ujenzi wake bado haujakamilika.

  Taarifa ya polisi ilisema kwamba N.I alikamatwa kufuatia taarifa iliyotolewa na wakazi wa eneo hilo waliomuona N.I akiingia katika jengo hilo katika hali ya kutatanisha.

  N.I alikamatwa na polisi katika ghorofa ya pili ya jengo hilo akiendelea kumalizia haja zake za kimapenzi kwa mbwa huyo.

  N.I alikamatwa na anaendelea kushikiliwa na polisi kufuatia tukio hilo.

  Source: http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsId=3813586&&Cat=2</SPAN>
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ana laana ya mama mkwe wake..
  Watoto 11 halafu bado unataka kuzaa na mbwa tena!
  Shiit!
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  watu kama hawa kule iringa wanaitwa ''VIBOLO-DINDA''
   
 4. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha! hiyo kali mkuu....
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kama mbwa nae alipenda hii haina shida maana waliona mbwa habweki, alikubali kwa hiari maana tungemfungulia mashtaka ya kubaka
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Mh! Haya mkuu..
   
 7. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kazi kweli kweli....!
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Na wewe litaarifa lako unarudiarudia manake nini ?
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,263
  Trophy Points: 280
  mwenzako amegundua njia mpya ya uzazi wa mpango,
  wewe unamuona ana laana ya mama mkwe wake.
   
Loading...