Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!! Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono? One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuhujumu mwili Wako Si kweli kwamba kuguswa na sex ni vitu hatari sana, vibaya na uchafu. Ukweli ni kwamba Katika ndoa kupeana raha kwa kugusana (touching) na sex ni mlo kamili wa moyo, mwili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika pilika pilika zangu za kimapenzi nimejikuta nimenaswa na penzi la mtoto wa Kizanzibar. Ni msomi anafanya shahada ya pili kwenye mambo ya Finance, nina maana ameenda shule! Anatoka familia...
0 Reactions
182 Replies
22K Views
Je,naweza kukaa kivyangu? Je, kutengana kati ya mke na mume bila kupeana talaka ni jambo linaloruhusiwa kibiblia hasa kama kuna matatizo ya ndoa kama kupigana au mmoja kutokuwa mwaminifu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, ni Skills tu? Hata kama skills ni jambo la msingi sana katika sex, kuwa na moyo ulio wazi na hamu ya kujikabidhi kwa mume wako au mke wako husaidia kuwa na uzoefu wa sex inayokupa ridhiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chripn.Burn,Field,Nguli na wengine tuliomo humu jamvini. Ikatoke siku moja iso jina,ukagundua kwamba mpenzi wako ambaye mnapenda sana ana malavi davi(wanamegana/anamegwa) na mwanamke mwenzake uta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu...
0 Reactions
108 Replies
44K Views
hivi demu ambaye ni bikra akisex kwa mara ya kwanza ni lazima damu itoke? namaanisha bikra inapotolewa, hoja zenu wana JF
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mume kutoweka! Kwa mwanamke ambaye alikuwa na ndoto za maisha bora ya ndoa kuondokewa na mume huleta maumivu makali sana, ni janga na hasara kubwa sana kwake. Kuachwa mwenyewe ni badiliko...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hebu fikiria: Una rafiki yako mpendwa, mliyeshibana sana. Mmesoma darasa moja toka A-Level mpaka chuo kimoja. Bahati ikawanyookea mkapata kazi kampuni moja, kabla ya rafiki yako mwezi mmoja...
0 Reactions
88 Replies
10K Views
Hii ni habari ya kweli kabisa,Rafiki yangu wa damu walitengana au tuseme waliachana na mkewe miaka mingi iliyopita. Mkewe huyo akaolewa na kuzaa watoto kadhaa. Sasa rafiki...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mama yangu alikutana na baba yangu wakiwa masomoni nje ya nchi, wakapendana, wakafunga ndoa - nikazaliwa. Baada ya muda mfupi wakashindwa kuelewana -wakatengana nikiwa na miezi kadhaa na hawakuwa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Mi naomba ushauri Ninakwazika sana na sijui la kufanya, nina mdogo wangu msichana anaishi mkoani na huwa ananitembelea mara kwa mara, pia nina Boss wangu ambaye imetokea akamuona mdogo wangu bila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I always knew that getting married to a Chagga woman is a headache, especially if you are a kyasaka (Kyasaka is a Chagga name for any person who is not a mChagga) – but my girlfriend's dad took...
0 Reactions
75 Replies
9K Views
Kuna demu mmoja nimekutana naye hapa dar anatoka Mombasa, umri wake ni miaka 23, Mara nyingi akija kutoka mombasa huwa ananipigia simu, na mimi huwa namtembeza kumuonyesha jiji letu, na huwa...
0 Reactions
31 Replies
12K Views
Mwanamke siku zote hujihusisha zaidi na undani wa kitu kuliko mwanaume. Hebu fikiria pale mtoto akizaliwa, mwanaume kitu ambacho atauliza siku zote “je mtoto ni wa kiume au wa kike?” Hicho...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeachwa, nimepata mwingine! Mimi na wewe milele Duniani kuna wakati wa kutoa machozi, wakati wa kucheka, wakati wa kuhuzunika, wakati wa kufurahi, wakati wa kuchukiwa, wakati wa kupendwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mara ya Kwanza! Usipokuwa makini unaweza kuligongesha siku ya kwanza tu!Sex mara ya kwanza ni uzoefu wa aina yake na hakuna kitu hufurahisha kama mnakutana wote ni bikira. Hapa nazungumzia...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
ni jambo zuri sana kuwa na site hii kwani inatuelimisha na kutuburudisha,nimekuwa ni memba wa blog hii kwa muda mrefu kidogo na nimejifunza mengi kwa kweli.kuna baadhi yetu tumekuwa tukichangia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilisimamia ndoa ambayo imedumu kwa miaka 15 kwa sasa. Ni ndoa njema na sikivu. Tatizo kubwa ambalo nimekuwa nikilipata kama msimamizi wa ndoa ile ni kutoridhishana katika tendo la ndoa. Mke huwa...
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Back
Top Bottom