Wanafunzi Wanyonyana Sehemu za Siri Darasani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi Wanyonyana Sehemu za Siri Darasani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gudboy, Dec 24, 2009.

 1. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Wanafunzi wawili wa shule moja ya msingi ya nchini Marekani wamesimamishwa masomo kwa kipindi kisichojulikana baada ya kunyonyana sehemu za siri darasani mbele ya wanafunzi wenzao huku mwalimu ambaye alikuwa darasani wakati huo akishuhudia naye amenyang’anywa leseni yake ya ualimu.

  Wanafunzi hao wa darasa la nane katika shule moja ya msingi katika mji wa Houston, Texas nchini Marekani wamesimamishwa shule kwa kipindi kisichojulikana baada ya kupatikana na hatia ya kufanya kitendo nje ya maadili ya kishule.

  Wanafunzi hao walinyonyana sehemu za siri mbele ya kundi la wanafunzi wenzao huku mwalimu mmoja akiwa ndani ya darasa hilo hilo akiendelea kuwaelekeza masomo wanafunzi wengine.

  Taarifa zilizotolewa zilisema kwamba baadhi ya wanafunzi walitengeneza duara kumziba mwalimu wao asione kinachoendelea wakati wanafunzi hao wa shule ya msingi wakinyonyana sehemu za siri huku wanafunzi wengi wakishuhudia kitendo hicho.

  Baada ya tukio hilo, mmoja wa wanafunzi alipeleka taarifa kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo ambaye alipeleka taarifa polisi.

  Wanafunzi hao walikamatwa na kuwekwa mahabusu katika jela za watoto na walifunguliwa mashtaka mahakamani ya kuharibu utulivu darasani na kufanya kitendo kinyume na maadili mbele ya watu.

  Wanafunzi hao ambao majina yao hayakutajwa kutokana na sababu za kisheria, walikiri makosa yao katika mahakama ya watoto ya Houston.

  Mwanafunzi wa kike alikabidhiwa kwa wazazi wake wakati uchunguzi wa suala hilo ukiendelea huku mwanafunzi wa kiume akiendelea kushikiliwa na polisi.

  Mwalimu aliyekuwa darasani wakati huo ambaye alishindwa kuzuia wanafunzi hao wasiendelee kufanya kitendo hicho, amenyang’anywa leseni yake ya ualimu.


  source: nifahamishe.com
   
 2. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kweli majuu hamnazo
   
 3. Mkereketwa

  Mkereketwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2009
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Is all about freedom!!!!!! sishangai sana.
   
 4. E

  Edmund Senior Member

  #4
  Dec 24, 2009
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbona hatushangai kabisa kwani hata kuchapana risasi kwao ni jambo la kawaida kabisa
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kwani hapa kuna la kushangaa marekani au tuseme huko majuu kwenu?? Sema tu ni kwa kuwa walikuwa darasani!!! Hivi huko hakuna coffee shops??? Ha ha ha !!! Kuna nchi nilienda katika familiarisation/orientation introduction host akamalizia kwa kichekesho, "visit coffee shops at your own risk".
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wajinga wa mwisho hao, wafukuzwe kabisa ili iwe ni mfano.
   
 7. N

  Ndeshingio Member

  #7
  Dec 26, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndiyo maana tena hawana maendelea wamekalia mambo ya kijinga tu, wachina wao wanasonga mbele kwa sababu wanamind maendeleo siyo mchezo
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  this is the end of the world kama vijana wanaweza kufanya haya mambo hadharani
   
 9. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2009
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu uko serious au unatania?
   
 10. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Majuu tu wapi chief, si mnataka Utandawazi ndiyo huo. hata hapa bongo hizi issues zipo kibao ila haziwi reported tu. nenda girls boarding xul upeleleze Mkuu then uje kusimulia hapa JF.
   
Loading...