Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jana nilikuwa naangalia movie moja inaitwa A diary of a tired black man, niliipenda na ikanifikirisha sana. inaelezea jinsi african-american women wanavyoharibu relationship zao kwa ajili tu ya...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Waungwana Nimesoma sana post za hili jukwaa la mapenzi kiasi kwamba napata kwamba ni rahisi sana kwa wanajamvi kufikia hisia za mapenzi!!! Yaani jana wakati napitia thread humu, i definitely...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Naomba maana halisi ya neno hili na jinsi linavyotumika,Kwa mfano asubuhi hii nimesikia kutoka Redio moja kuwa mtu mmoja huko Rombo Mkooani Kilimanjaro amejiua na kumua mkewe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello wana jamii, sio masihara jamani hapa najua wote ni watu wazima na wenye akili timamu. Wasifu wangu. Jinsia-Kike Umri-29 Elimu-ya chuo naamanisha graduate Rangi-kahawa umbo-No 8 mnene...
0 Reactions
123 Replies
13K Views
Wakuu... siku za karibuni nimeona rafiki zangu wawili wakivunja ndoa zao baada ya kutoswa na wake zao, hao wadada ni wa shoka, elimu A, na kazi walizopata ni za kimataifa Cha kushangaza mmoja...
0 Reactions
100 Replies
14K Views
Wapwazz na Binamuz salam ziwafikie Tumebaki na takribani siku 5 kijana Geoff akafunge pingu za maisha (si pingu za Jerry Muro lakini msinisome vibaya). Plan imekaaje??? mi sielewi tena Geoff...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
  • Closed
Ni ukweli usiopingika kwamba miaka ya hivi karibuni (Miaka 40 iliyopita) Waafrika tulikuwa na desturi ya kukuagua bikira kwa mabinti ama wasichana waliokuwa wakiolewa.Siku ya harusi ilikuwa ni...
1 Reactions
60 Replies
20K Views
By Belinda luscombeThursday, Feb. 04, 2010 Dennis Hopper is not world famous because of his stability and family values. He made Easy Rider; it would be a letdown if he were Mr. Domesticated...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni binti mzuri sana kwa kumtazama. mweusi wa kuvutia, umbo jembamba lililogawanyika, si mrefu si mfupi. uzuri wake ungekolea pale ambapo angepata hali bora zaidi ya kimaisha. nasikitika kusema...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
habari zenu wakuu, kuna rafiki wangu mmoja ndio amenielezea kisa chake na anaomba ushauri. Yeye anampenda sana binti mmoja,wako pamoja kwa karibu mwaka sasa,lakini shida kubwa ni huyo mwanamke...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanawake ni wajanja, werevu, watundu na wana mbinu nyingi zaidi ya wanaume.
0 Reactions
87 Replies
9K Views
YES!....i hate it,i hate it so much 70%-of men involved in SERIOUS RELATIONSHIPS ARE NOT SERIOUS!.....ndio,lazima tuelezane ukweli unapokuwa very unserious: -YOU HURT YOUR PARTNER...
0 Reactions
190 Replies
14K Views
John Terry Anyang'anywa Unahodha Baada ya Kumtia Mimba Shemeji Yake John TerryFriday, February 05, 2010 9:50 PM Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Uingereza, Fabio Capello amemnyang'anya unahodha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Dada pole kwa ajali lakini Kwapa linahanikiza kwa kutiririka majasho
0 Reactions
3 Replies
45K Views
Hivi ni kwanini ina kuwa hivyo? Jiulize haya yanatutokea kila siku.. ----------------------------------------------------- LAW OF QUEUE: Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mama Mia Wewe ni wangu sina Taimu na vicheche . Nakuomba Tena kwa mara Nyingine Uje JF uninongoneze
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'.... ******************************************* Mimi ni kijana ambaye nimetokea kumpenda sana binti fulani aishiye Dar. Tumefahamiana kwa muda...
0 Reactions
63 Replies
20K Views
Jana jioni nilipigwa na butwaa kumuona rafiki yangu akilia kuliko kawaida! Nilipomuuliza alishindwa hata kuongea! Basi nilianza kazi ya kubembeleza. Mwishowe nikaona hali yake inakuwa mbaya kwani...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
From Relationship to Marriage, here are some few questions and answers 1. Do you love me ? Yes, 2. Will you hurt me after marriage? NO. 3. Will you take me to niciest places for...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…