Wana JF za asubuhi/mchana/jioni!!!! Nimekuwa nikifuatilia ile hadithi ya Mwanakijiji ya Kisa cha Mjamaika ina mambo mengi visa mbalimbali vya kimapenzi. Sasa hadithi hiyo imenifanya nipate swali...
Wapendwa
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?
Nauliza...
10th grade
As I sat there in English class, I stared at the girl next to me. She was my so called "best friend". I stared at her long, silky hair, and wished she was mine. But she didn't notice...
Cheat first - so even if later on down the road you come to find out your partner is cheating on you it won't hurt as bad because you got him/ her first.
DNA proof: 60pc of male parents not biological fathers
The Government Chemist Laboratory Agency has said that among the 250 deoxyribonucleic acid (DNA) samples it received for disputed...
Jamani nauliza swali hili kwa kuwa nimekuta kwenye daftari la mtoto wangu wa kiume ameandika ''I LOVE YOU ... (ametaja jina la msichana), hilo daftari analitumia kufanya kazi zake si la kukusanya...
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*****************************************************************
Suala la nyumba ndogo halipo kwa wanaume tu hata wanawake pia tunalo...
Umewahi kuwa na njozi (fantasy) juu ya mke au mume wa rafiki yako? Kuna rafiki yangu ana mke bomba sana na kila mara huwaga namuwaza kwenye njozi zangu kuwa siku nikimpata huyu...atanikoma. Saa...
kwa bahati nzuri au mbaya nimefanikiwa kuyanasa mazungumzo fulani kati ya watu wawili wapendanao
GF: kwanini uniambie, kata kwanza simu kuna mtu ananipigia
BF: alikuwa ni bosi wangu anataka...
Nimeshawahi kuona tafiti mbalimbali na kusoma makala kadhaa zinazodai eti wanaume kwa wastani huwaza kuhusu ngono kila sekunde 7. Sijui kama ni kweli au vipi lakini hivyo ndivyo inavyosemekana...
Secret's out
Women cheat out of boredom, men wander for pleasure
By TANYA ENBERG
We hear a great deal about men who stray - the news of cheating hubbies Tiger to Jesse jump out at us from the...
Imekuwa kama kasumba siku hizi, wadada na wamama wengi walio katika ndoa huwa hawapendi kuvaa pete za ndoa zao. Hii hata kwa wakaka na wababa pete za ndoa zimekuwa kama ni sumu kwao pia. Ajabu...
Moja ya vitu vibaya sana katika mahusiano ya kimapenzi ni kuachwa na mpenzi wako (to get dumped). Mbaya zaidi ni pale unapoachwa kwa ghafla bila hata kuona dalili. Unastukia tu mwenzako anakata...
Kwa wale mnaojitutumia kuwa ni "wana wa mungu milio safi " lakini pia mnapenda kula uroda nje ya ndoa zenu na wana kondoo yawapaswa kuepuka jambo hilo kwani iajapo siku Mungu atasema nanyi kwa...
Top 10: Marital Problems
Marriage is an institution, though sometimes it can feel like a mental institution. When yet another argument about your unwillingness to have kids follows hot on the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.