Napenda kufahamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napenda kufahamu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Aug 11, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Habarini wandugu!
  "Je wewe ungependa kuishi mkoa gani hapa Tanzania ukiwa na mpenzi au familia yako hata kama hujabahatika kuishi huko na ni sababu gani zinakupelekea kuupenda huo mkoa na ukapenda kuishi na mpenzi wako ama familia yako na ukajiona mwenye furaha maishani?"

  Mimi ningependa saaaana kuishi Mwanza na Mpenzi wangu na sababu hasa ni wale samaki na mndhari nzuri ya Mwanza!
   
 2. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  maisha popote!!
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Sipingi hilo ila ungependa kuishi wapi
   
 4. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,740
  Likes Received: 8,329
  Trophy Points: 280
  Moshi Arusha...si mbali na hapo...haswa Moshi...pasafi jamani!!!
  aaaaaaaaaaaaaaaaaa..
  sorry...
  au kule chini maeneo ya Matema...i jus love clean places!
  I dislike Dar..labda kwa starehe tu tena nikiwa na pesa zangu!!!
   
 5. T

  Tall JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Moro,dar,arusha,znz,mbeya,iringa.
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,513
  Likes Received: 2,109
  Trophy Points: 280
  Moro, Iringa, Mbeya, Arusha ila Dar ndio kila kitu tatizo foleni tu
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  uchafu na joto
   
 8. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama wengine wasemavyo maisha popote ila kwa hili suala la kuishi na familia nadhani nitaishi mkoa wowote ule ila si Dar maana hilo joto, hao mbu, foreni za magari na ukubwa wa jiji kiasi cha kumlazimu mtu kupanda hata daradara tatu kabla ya kufika aendako, hayo mambo siyawezi na ninawapa pole sana muishio Dar, pole sana.
   
 9. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2010
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpwa bwana, chagua sehemu moja kati ya hizi: Moro,dar,arusha,znz,mbeya,iringa. Naomba nikuchagulie Arusha, Sakina.
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Bukoba ndio kila kitu wewe.
   
 11. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkoa wa MARA mura, kure mambo ni kijesh jesh tu ukireta habari za kuchukua mabinti wa watu unaro!!:mad2:
   
 12. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jiji kunuka dar bana, hata unabuku unakula pa kulala sasa ndio balaa , mbele ya nyumba jalala.
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  eeeh sasa utahemea wapi tena:becky: hata ukikapata unakuwa na wasiwasi linaweza shuka la mgongoni paaaaaaaa:becky:
   
 14. T

  Tall JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  si ndio maana nipo hapa mkuu? Hili jiji we achana nalo.
   
 15. T

  Tall JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha. umenichekesha sana tu.ASANTE KUNICHAGULIA. Well, Arusha hasa pale sakina si pabaya........mmmh???? unanijua nini????
   
 16. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hahahhaha wewe na chloe mmmenichekesha sana arooo,,,,:becky::becky::becky::becky:
   
 17. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie A town,mzunguko wa pesa uko vizuri pale na hali ya hewa inanivutia!!
   
 18. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hata katika yale mambo yetu hutoki jasho saaana
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mbeya..................ni asili
  Iringa....................ni asili na mkoa nilikozaliwa
  Morogoro..............unanifaaa kwa kushuguli za kijasiriamali....
  Dodoma................promising future economic power house of TZ
  Singida.................Kudumisha mila na ujasiriamali

  Mikoa yote hapo juu ina hali nzuri ya hewa; ni sehemu nzuri kutunza familia :A S 8::A S 8::A S 8::A S 8::becky::becky::becky::becky:
   
 20. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,808
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Iringa - Maeneo ya Njombe
   
Loading...