Kama mama / baba utachukua hatua gani??

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
Ghafla Bin Vuu mtu anakuja nyumbani kwako na kukuachia mwanae akidai mwanao amempa mimba mtoto wake?she iz 19 yrs old
Na Je wewe mzazi utafanyaje unapopata taarifa juu ya hili la mwanao ni mwanafunzi kampa mimba mwanafunzi mwenzie 21 yrs old ..watoto siku hizi wanaanza utundu mapema sana...............
Mie nimekosa cha kumpa ushauri huyu ndugu Msaada tutani ...................
Si mie jamani ka- baby kangu bado kako kindagateni:A S 39:
 
ina maana huyo mtu alikuwa hajui kama mtoto wake amempa mimba m/funzi mwenzie na je hakukuwa na vikao vya kujua mustakabali wa hiyo mimba kati ya wanafamilia hizo pande zote mpk afikie kubwaga mtoto kwa wazazi?

Naomba ufafanuzi kidogo naona story kama imekosa ukamilifu
 
FD hakuna Kikao wala habari zozote zilizofika mwanzo kama kuna kitu hicho ..ghafla majira ya jioni wazazi wa binti wakiongozana na Binti wakatia timu katika hiyo family na kumuacha Binti wakati mama akiunguruma huku akiishia zake ..
"Ndo mumtunze huyo mtoto kama mnaona mazuri haya "kauli ya mama wa binti
 
Unawafuata wazazi wenzio mka-negotiate.....suluhu itapatikana kwa busara za wazazi wote...
 
Nitamhoji mdada au binti kupata usahihi. then nitakaa na hiyo familia ya binti kupata muafaka. kijana akikubali awe wife ambae atakuwa ni mwali wangu litajukana. Maamuzi wataamua wao.
 
Tatizo kijana ameitwa amehojiwa sana anadai yeye hajawahi kuwa na uhusiano wowote na Binti..wakati Binti analia anadai ni mimba ya kijana..
kweli ujana mmh..........................
 
hiyo familia imefanya kosa kuja kumbwaga binti yao bila kuongea na wazazi wenzao kwanza...sasa wakiamua kumfanya house gal itakuwa imekula kwa nani?
 
Kimsingi wanakua wako kwenye shock....ukiwapa mda kiasi mnaweza mkaongea vizuri sana...
 
Pima vinasaba... mtoto akiwa damu enu... mlee mjukuu kwa mapenzi yote, hakuomba kuzaliwa!!!:eyeroll2:
 
mbona hata mimi nina uwo umri wa 21.FL tunajua vitu vingi kuliko ujuavyo wewe au unabisha ? me nawashauri wazazi wa huyu jamaa wa kiume awape room wapumzike then baada ya mwezi ndo awaulize.ukiangalia kwa upande wa sheria hazitowaguza sana maana wote ni aabove 18.SOSPA haiwahusu kwa kuwa walikubaliana, MARRiage Act inawarur\husu kwa kuwa wamezidi miaka kumi na nane.
 
mi nadhani mimba si kosa, kosa ni lile la kwanza na mimba ni matukio ya kosa tu,
hapo kuna haja ya kukaa kuitafuta busara na hekima zaidi ili kumaliza msuguano
 
duh jamani hawa watoto nowdaiz ni balaa,kwakweli yabidi kumwomba Mungu tu hakuna la ziada,mwambie amuite huyo kijana na binti wakae pamoja na kujua ukweli kama wote watakubali bila tatizo huna jinsi aleee watoto na kusubiri mjukuu tu ,anywei miss u sana mma!

Back
Top Bottom