week-end njema:kwako wewe uliyekata tamaa ya kuolewa/oa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

week-end njema:kwako wewe uliyekata tamaa ya kuolewa/oa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by cheusimangala, Aug 13, 2010.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  HII KWAKO WEWE ULIYEKATA TAMAA YA KUOLEWA AU KUOA.

  kabla sijaanza kujipodoa kuelekea ktk kiofa cha dinner alichonipatia barafu wa mtima wangu,ningependa kuwaachia zawadi hii.

  :A S-rose:lav you all.:A S-rose::A S-rose:  [​IMG]
  Henry Kerr 97 na Valerie Berkowitz 87 raia wa uingereza huenda wakawa ni watu waliovunja record kwa kuoana wakiwa na umri Mkubwa(vikongwe), mmmmh kweli mapenzi hayana umri.
  Kilichonifanya niweke hii post ni kuwapa faraja wale wote waliokata tamaa ya kuolewa au kuoa kutokana na umri wao, It is never too late to get married.
   
 2. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ok ok watoto watwapata lini?:A S 8:
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hapo chacha.
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  test tube zipo:eyeroll2:
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Ndoa ni watoto eh?:confused2:
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  :confused2:
   
 7. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  si lazima watoto. cdhani kama ndoa ni watoto tuuu.
   
 8. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wa nini?
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ndoa ni kumfanya mumeo/mkeo awe mtakatifu watoto ni matokeo
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ndoa ni mafarajo btn two
  wangap wameoana wakazaa watoto 11 stl amani wala furaha akuna?
  wangap wameza watoto wakafa mwsho wa siku wakabak wao tu?
  wangapi wamezaa watoto wakawa mwiba?wakawa mateja,makahaba,watoto ewasiokuwa na dabu mwsho wa siku mpk wakawish wasingezaa?
  WATOTO Z NTHNG ..........NDOA IZ BTN U N YEYE.
  watoto mapambo bt not crucial.......even thou ..............NENDENI ...........MKAONGEZEKE........
   
 11. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  makofi kwako tafadhali.sikupigi nakupigia.lol.
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,305
  Likes Received: 5,640
  Trophy Points: 280

  ibrahim kwenye baibo aliwapata lini na mkewe sara;;????ukipata jibu utajua ndoa kumbe ssi kuzalishana tu
   
Loading...