Tupewe na risiti jamani!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Mmmmmh kwa hili nimechoka
kuna watu waniibia serikali kweli lakini na awa ndugu zetu wanaotuhudumia lazima nao
waijali kidogo serikali....nimeomba kama mko karibu nao waambieni nao wawe wanatoa
hata risiti incase hata wakikufanyia so unawatafuta kupitia risiti zao

Ni kweli huduma nzuri mnato je kama kwenye basi wanatoa tiketi ya sh.250 sembuse sh.15,000-20,000

kwenu wana accountant tunaomba design ya vitu vitakavyokuwa kwenye risiti za watu hawa tuwasaidie

Tumechoka tunatoa hela kubwa hata risiti upati na hii itawasaidia hata kama wakitoa huduma nzuri mtu anaona tu contact kwenye risiti kwa ukumbusho anaamua kukumbushia....
 
Risiti no way...ukikamatwa nayo home utasemaje..?
 
Hivi unaongelea nini hapa maana Topic zako ziko mfululizo ww?

Pole tena mama kumbe tunachunguzwa we umetuma ngapi kwa nini unataka kumzidi fulani eeehhh
samahani tena ntakuwa natoa thanks tu mama natuma mara moja usiku ukiwa umelala mama
ni kutokuwa busy kazini tunapotezea muda tu jf mmaama pole sana.....
 
Uholanzi wanatoa risiti na wanalipishwa kodi,kila jumamosi wanapimwa afya ukienda unaoneshwa kadi.
 
Pole tena mama kumbe tunachunguzwa we umetuma ngapi kwa nini unataka kumzidi fulani eeehhh
samahani tena ntakuwa natoa thanks tu mama natuma mara moja usiku ukiwa umelala mama
ni kutokuwa busy kazini tunapotezea muda tu jf mmaama pole sana.....

ndio unazidi kuchanganya mambo?..FL amekuuliza unaongelea nini ndio ukavurunda kabisa badala ya kumuelewesha unachoongelea....
 
Mmmmmh kwa hili nimechoka
kuna watu waniibia serikali kweli lakini na awa ndugu zetu wanaotuhudumia lazima nao
waijali kidogo serikali....nimeomba kama mko karibu nao waambieni nao wawe wanatoa
hata risiti incase hata wakikufanyia so unawatafuta kupitia risiti zao

Ni kweli huduma nzuri mnato je kama kwenye basi wanatoa tiketi ya sh.250 sembuse sh.15,000-20,000

kwenu wana accountant tunaomba design ya vitu vitakavyokuwa kwenye risiti za watu hawa tuwasaidie

Tumechoka tunatoa hela kubwa hata risiti upati na hii itawasaidia hata kama wakitoa huduma nzuri mtu anaona tu contact kwenye risiti kwa ukumbusho anaamua kukumbushia....

hivi ni biashara gani hasa inaongelewa hapa?
 
Sisi watu wamazingira hatutopenda kuwa na makaratasi mengi! wasitoe risiti
 
SIKU MOJA SAMSONIMFALILA ALINAMBIA NISOME KITABU CHA DANIEL KUNA HABARI YA SANAMU YENYE MCHANGANYIKO WA SHABA,CHUMA NA UDONGO....YALE MANENO HUWA HAYANITOKI KWA KWELI......nadhani hapa anaongelea wanaopokea sadaka na mafungu ya kumi.....yawe yanatolewa risiti for future reference.....ili ukipata baraka unasema because nilitoa sadaka kwa mama lwakatare..........ILA HUDMA YA UKAHABA NA ISHINDWE KWA JINA LA YESU ALIYE HAI.......TUOE NA WAKE ZETU WATATUPA KILICHO BORA ZAIDI YA HUDUMA ITOLEWAYO RISITI....HIYO 15,000-20,000 UKIACHA NYUMBANI NI BREAKFAST AMA LUNCH AMBAYO NYUMBANI WATOTO WATAMWAGA DUA ILI BABA UPATE TENA ZAIDI NA ZAIDI.....! AAAMMMEN....!
 
Bihashara haramu ya ngono! kujiuza machangudoa wawe wanatembea na mihuri , vitabu vya risiti na kalamu, watasahau kubeba zana sasa , halafu ile kasi ya chapchap inapungua, na hapo inabidi wafungue ofisi kabisa
 
SIKU MOJA SAMSONIMFALILA ALINAMBIA NISOME KITABU CHA DANIEL KUNA HABARI YA SANAMU YENYE MCHANGANYIKO WA SHABA,CHUMA NA UDONGO....YALE MANENO HUWA HAYANITOKI KWA KWELI......nadhani hapa anaongelea wanaopokea sadaka na mafungu ya kumi.....yawe yanatolewa risiti for future reference.....ili ukipata baraka unasema because nilitoa sadaka kwa mama lwakatare..........ILA HUDMA YA UKAHABA NA ISHINDWE KWA JINA LA YESU ALIYE HAI.......TUOE NA WAKE ZETU WATATUPA KILICHO BORA ZAIDI YA HUDUMA ITOLEWAYO RISITI....HIYO 15,000-20,000 UKIACHA NYUMBANI NI BREAKFAST AMA LUNCH AMBAYO NYUMBANI WATOTO WATAMWAGA DUA ILI BABA UPATE TENA ZAIDI NA ZAIDI.....! AAAMMMEN....!

AMEN,Ubarikiwe kwa kutochukulia familia yako kama mzaha :A S 8:
 
risiti za dukani/gengeni unazo ngapi leo hii mpaka utake na hizi?! basi mwishowe utataka muandaliwe menu na prices zake:)
 
Alaf sometimes unatakiwa ku-retire kama feza uzotumia ulichua imprest. sasa bila risiti itakuwaje...
 
huduma unayopata inalingana na pesa unayotoa ,kariakoo sokoni mbona huombi risiti?kwenye mabaa mbona hamuombi risiti
 
Back
Top Bottom