Sina hamu tena kuonana uso kwa uso na mwanaJF

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Unajua hapa kunakuwa na watu wanakuwa na maneno matamu kwenye chat zao kiasi cha kutamani kama ningepata wasaa nae...!

Lakini sasa sitamani tena

Juzi nilienda kwenye ofisi ya secretary mmoja kununua vocha (siku hizi imekuwa dili masecretary kuuza vocha). Nilipokaribia mlango wa ofisi nilipokea msg, ikanilazimu nistop kidogo kuisoma. Wakati naisoma kule ndani ya ofisi nikasikia yule secretary akipiga soga na 'shogaake' na nikasikia kamwambia 'ile ishu ya juzi nimeipost kwenye jukwaa la wakubwa mda si mrefu, fungua ucheki watu wanachosema'.. Mh, mwanzoni sikupata picha lakini nilipofungua mlango kwa mbali nikaona yule secretary akiperuzi kurasa za JF, ndipo nikajua kumbe alikuwa anamaanisha jukwaa la kwenye JF!

Nilirudi ofosini kwangu na baada ya mda nikiwa naperuz kwenye Jukwaa la wakubwa nikakumbuka kisha nikacheki topic zilizotumwa ule wakati. Aisee nilishtuka maana watu wote waliokuwa wametuma topic sikuwahi kuwawazia kuwa wanaweza kuwa age ya yule mama secretary. yaani yule mama kuna wakati nilikuwa navizia mtoto wake wa tatu sijui... Nikashtuka kumbe huku inawezekana tunataniana na wakwe zetu!!
 
Umenena kweli na haki kabisa! Humu tumejaa watu wa kila aina, wa kila umri nk. Yaani we acha tu bana!
 
yer........you have to watch your steps......you can date your own mum or dad.....! sijui hapo nani atakuwa hana adabu! be religious you can enjoy the fruits of the earth and heaven!
 
Labda watu wamlazimishe Invisible awalazimishe member wote waweke pics zao halisi.....:A S 109:...ama willing!
 
Du, eee bwana eee. Unakuta mtu na binti yake wanachati mambo ya aibu bila kujua. Kwa kweli siku majina na picha za watu zitakapowekwa peupe hapa mjini watu wengine watahama kwa lazima
 
Noma sana ungekuwa unachati nae kumbe ni mama mkwe wako
..Na mwisho ukishakolea unampa " tukutane mipango guest house" nitakuwa nimevaa sarawili ya dengilizi na mujusi mwekundu hapo ndio panakuwa patamu....:A S 8::confused2::A S 8:
 
Du, eee bwana eee. Unakuta mtu na binti yake wanachati mambo ya aibu bila kujua. Kwa kweli siku majina na picha za watu zitakapowekwa peupe hapa mjini watu wengine watahama kwa lazima

watu mnachekesha ndo mambo ya mitandao haya
 
Du, eee bwana eee. Unakuta mtu na binti yake wanachati mambo ya aibu bila kujua. Kwa kweli siku majina na picha za watu zitakapowekwa peupe hapa mjini watu wengine watahama kwa lazima

hivi mambo ya aibu ni yapi?
mbona watu wengi JF wanafahamiana kwa sura na wamepishana umri kwa aina moja au nyingine lakini wote wanakutana kwenye majukwaa ya JF....
 
Mimi nina hamu ya kuona wana JF wengi iwezekanavyo; i feel great every time i see a JF, napata faraja na naona trust yangu kwa JF inaongezeka sana... so far nimewaona zaidi ya 20 na hakuna aliyeni-disappoint hata kidogo, mwanza, arusha, dodoma dar nairobi kote shwari...

Kama ni mmbeya atakua mmbeya tu hata asipokua JF; wengine ndio hivyo huwa tunakubaliana kuonana lakini nadhani bado hawana imani au wana mawazo hasi, au wametingwa na kazi za kila siku but all in all seeing a fellow JF member gives such a great feeling in me

LEO NTAONANA NA MEMEBER MWINGINE AMBAYE SIJAWAHI KUMUONA KAJA DAR KIKAZI

LONG LIVE JF, SHORT LIVE UMBEYA, NO LIFE FOR MAFISADI...
 
..Na mwisho ukishakolea unampa " tukutane mipango guest house" nitakuwa nimevaa sarawili ya dengilizi na mujusi mwekundu hapo ndio panakuwa patamu....:A S 8::confused2::A S 8:

tetetetetetet leo nacheka hapa inawezekana huyo secretary ni mie utajiju:confused2:
 
hivi mambo ya aibu ni yapi?
mbona watu wengi JF wanafahamiana kwa sura na wamepishana umri kwa aina moja au nyingine lakini wote wanakutana kwenye majukwaa ya JF....

Mambo ya aibu ni ya aibu hata kuyasema hapa. Kama hujaelewa basi ni-PM nikueleweshe
 
ha ha ha mambo mengine yanafurahisha you made my day ..naandaa Fiesta moja itukutanishe JF wote angalau tufahamiane ..haya mambo ya kuwa ma-invisible magumu sana ...Preta andaa spead sheet orodhesha majina ya kina nani watahudhuria tupange bajeti:confused2:
 
Labda watu wamlazimishe Invisible awalazimishe member wote waweke pics zao halisi.....:A S 109:...ama willing!

Dont' try that at home! Tutakimbiana hapa.
Unaweza kushangaa kila siku unajibishana na bosi wako ktk jukwaa na umempaka ile mbaya.
 
Back
Top Bottom