Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Za leo wandungu wapendwa katika jamii hii, Naomba kuuliza hivi ni dalili zepi ambazo mwanaume atajua kuwa mumsapu kamchoka na kumkinai kabisa. Maana kuna dalili nizionazo mimi zanichanganya...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Nina mpenzi wangu,mpaka sasa simuelewi na kila ninalofikria kummfanyia naona halinimtoshi.mwaka 2004 tulikuw wapenzi,tukaachana ktk mazingira yeye mwenyewe kaamua.mwaka 2007 akaomba turudiane...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Right where you are at in life, looking back if you could turn back the hands of time, what would you do differently? Would you not have said yes to the one you have now? Is there anyone in your...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi wadada wanapopiga makelele wakati wa tendo kuu je inaashiria nini? wanasikia raha kuliko wanaume wananakuseti ili umalize haraka wanaumia?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
This is a true story... Mwaka mmoja baada ya myfriend kupata 1st degree alioa na mwaka mmoja baadae alirudi chuo kupiga masters. At the same year wife wake aliregister for bachelor at the same...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wapenzi kila mmtu anajua umuhimu wa shuguli ama kazi na hasa kwa wapendanao vyema akija mwenzio toka kazini mkapeana pole hny sijui sweet/darling/luv/nk si haba ukiwa mnaanza shuguli vyrma...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Hatuna budi kumshukuru Aliye Juu kwa uumbaji wake wa kushangaza ambao majira haya ya kiangazi yanaufunua kwa namna ya ajabu na ya kutisha. Tumshukuru kwa kutupa macho ya kuweza kushuhudia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
THIS WAS ESTABLISHED BY MRS MARTHA DE PURENEZ, WHO DIED AT THE AGE OF 104, AND SHE SPENT 82 YEARS IN MARRIAGE, AND SHE SAID THIS. “I know that young ladies will never agree with me, but whoever...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sitataja jina wala majina lakini kama unasoma na kuucheza huu wimbo wa Bobby Caldwell na ukajihisi kuwa nimeu-dedicate kwako, basi kuna uwezekano mkubwa sana wewe ndiye mlengwa. Enjoy dear...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MPENZI WAKO ANA WIVU??KUZIDI HUYU?? .jpg"] Alikuja dada mmoja jana hapa ofisini kuongea kuhusu adha anayoipata katika maisha ya ndoa,akiwa na malalamiko kibao kuhusu WIVU wa mumewe?akasema...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Rafiki yangu wa karibu amenijia na shida yake, imenishinda nimeona niilete kwenu, nayo ni; Amebahatika kupata mali za kutosha, lakini bahati mbaya ana watoto wa kike tu, na mkewe amefungwa...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Hi wanaJF Mimi ni mwanaume, nimeoa miaka mitatu iliyopita. Kwa sasa nina miaka 32 ya umri. Mimi na mke wangu hatuna mtoto kwa miaka hiyo mitatu. Tatizo ni kuwa siku hizi nimeanza kuingiwa na...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
MWANAMKE mmoja [jina kapuni] amelazimika kuchukua maamuzi ya kuchelewa kurudi nyumbani kwake kutoka kazini ili kukwepa kumpa unyumba mumewe ambaye anadaiwa kutumia dawa za kimasai za kuongeza...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nusura nipost sehemu ya mwisho ya "Kumbatio" ndipo nimekutana na email ndefu yenye kunilalamikia na kunidokeza kuwa kisa hiki kimetokana na kisa cha kweli na kuwa yawezekana nimesimuliwa na mtu wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kipondo ninatolewa na ndugu za Mke. Huyo mwenye vazi Jekundu, makli kama nyuki ndo mamsapu mwenyewe.!!.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Siku za karibuni watanzania tumeanza kusikia kuwa sasa dada zetu wanaweza kuongeza makario,maziwa na kubadili mionekano yao kwa kutumia madawa yanayopatikana kwenye maduka ya vipodozi.Swala hili...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Closed
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Tafadhalini sikieni hiki kisa!!!!!!!!!! Mama alikuwa na watoto watatu na hana MUME (single parent). Mtoto wa kwanza ni wa kiume na ana baba yake, wadogo wawili ni wa kike na wana baba yao. Mama...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanawake wanajali (caring) na wanafahamu kupenda (loving), Wanawake hutoa machozi hata wakiwa na furaha, Wanawake hufanya hata vitu vidogo vidogo kuonesha wanajali, Wanawake huweza kusimama...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mtu ana mgeni wake,let say Garryson, Garryson ni mwenyeji,mgeni wake Let say ni Bakari. Sasa katika meza moja mwanzoni walikuwa Garryson na Bakari wakibadilishana mawazo ya hapa na pale, mara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom