"Makosa"tunayofanya kwenye mahusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Makosa"tunayofanya kwenye mahusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaizer, Aug 11, 2010.

 1. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Wapwa na mabinamu

  hili limenijia kichwani nikaona bora tulijadili kwa pamoja hasa wale waliopo wkenye mahusiano ya kindoa/GF/BF.

  Ni hivi, kwanza wengine wanakuwa na matarajio ya juu mno dhidi ya mwenzake.....kwamba kila kitu kitakuwa perfect kila saa kila siku na miaka yote...hili sio kweli......ni utopia kufikiria hivyo na ni bora kijiandaa mapema kwa 'mabadiliko' yeyote yale

  la pili, niende kwenye ishu nzima ya kumegana/kula tunda la kati....kuna wengine wamekremisha kuwa unaanza hivi, unashika hapa, chomeka chomoa and the like...KWISHA...yaani ile Kiprofessional like. Kumbe mapenzi hayataki mambo ya uprofession, kufanya mapenzi ni KUUACHIA mwili na akili viende vinavyotaka...Usiutune ubongo kwamba lazima hiki kianze ndo hiki kifuatie, au style hii kisha ile...HAPANA.

  Kama siku hiyo umejikuta kifo cha mende kinakubali, JIACHIE...kama umekuta paka chongo, JIACHIE, ukikuta siku hiyo mzuka upo kwenye mbuzi kagoma, jiachieni kwa raha zenu.....usitake kulazimisha kifo cha mende.....Ukikuta siku hiyo ni mambo ye TEMBELE ndo yanakubali.,,jiachieni....tuepuke kudhani kwamba kuna FORMULA katika ufanyaji wa mapenzi....RELAX and do it accordingly.


  Jengine, hili kwa wake/wapenzi wetu ni kwamba TUNAWAPENDA...hata kama ukiona mtu amefanya infidelity jua hiyo ni ya KUPITA lakini mambo yapo HOME ndo maana ukawepo in the first place, I mean hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayefanya infidelity akiwa na hizia za mapenzi ya dhati ndani yake....LOVE inakuwa sehemu MOJA tu....

  ni hayo tu kwa sasa!
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,712
  Likes Received: 8,263
  Trophy Points: 280
  Makubali kote ila paragraph ya mwisho...infidelity ni KUKOSA AKILI..as the Bible sayeth!!!MWISHO
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Shikamooo shemeji....habari za siku nyingi......
  Pole sana na Infidelity.......
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kamata hii hapo chini..


  The Following 1 User say Thank You to Kaizer For This Useful Post: Kimey (Today)
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  :nono::nono::nono:
   
 6. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  ni kweli mkulu , ukisoma between the lines ni kwamba hata KUKOSA huko kwa akili ni KWA MUDA tu sio wakati wote ndio maana mwisho wa siku unarudi HOME tartiiib,....
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama yaonekana ni mjuzi sana wa hizi styles.
  Hebu tumit kwenye jukwaa la mambo yetu kule utudadavulie kwa kina mkuu.
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  Umependeza shemeji,,,,,asante kwa kurudisha 'vazi' lako la zamani........
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  The Following 3 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:

  Asprin (Today)
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Asante shemeji.Ila sina uhakika na haniii wangu MSD kama nae atalipenda hili vazi la zamani.Nimekumisi lakini...hivi nimekukosea nini??????????
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo unapokosea sasa.

  Ewaaa! Ni heri ukose akili kwa muda kuliko MUDA WOTE, siyo hommie?
  Hommie Kaizer, bado uko Sauzi? Hebu mpitie JZ azidi kukuongezea maujuzi. Si unaona una wanafunzi wengi hapa?

  :lalala::A S-heart-2::A S kiss::nono::nono:
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,018
  Likes Received: 23,936
  Trophy Points: 280
  :confused2::confused2:
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hivi bible inazungumziaje kutukana au kumwambia mwenzako kakosa akili?
   
 14. RR

  RR JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Si kila mtu anakosa akili muda fulani...?
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kaizer..................!
  ngoja niende nikaaaaa:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
  be back shortly
   
 16. TATE

  TATE Member

  #16
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  love is overrated, love is complicated, huwezi kusemea kila mtu.
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hahah Kaizer nilijua hiyo sentensi ya mwisho lazima iwepo ..Haya Teamo na RR mna la kuongezea?
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  :welcome:

  hahahahahha:cheer2: wale wa JZ wanajua exactly mwanaume wa kiafrika (tusema in general, hao wazungu 'wameshikiwa akili') walivyo


  bora amerudi asee naona sijui ilikuwa maternity...hebu do ze nidiful hommie hilo vazi unalionaje hapo nadhani uwe na gobore kabisa
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  okay,labda tuanze hivi...
  kuna ugonjwa hatari sana umeingia da'slaam unaitwa CHEZUMWI....!
  mewahi kuusikia wakuu?
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  ipi hiyo FL1, hebu iweke hapa...na kwa nini ulijua hivyo>...:welcome:
   
Loading...