Yaani tunamaliza viti tu ndani..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaani tunamaliza viti tu ndani.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sajenti, Aug 6, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuna siku moja nilimuomba honey wangu angalau tuhamishie "game" kwenye kakochi ketu chumbani. Lengo ni kujaribu kutafuta radha kutoka kiwanja tofauti na kile tulichozoea kila siku "kitanda chetu". Kwa kweli zoezi lilifana mpaka mamaaa akauliza nilipojifunzia hiyo kitu.

  Sasa tatizo siku hizi hata kitanda mwenzangu amekitoa kwenye mahesabu na hasa linapokuja suala la "malavidavi" ni kwenye kiti tu mkienda kitandani ni kulala tu hata kama nataka kupambazua inabidi tuhame.

  Tumeshavunja kicho kiti mara 3 mshikaji ukimshauri tofauti anakuwa mbogo ile mbaya kisa eti hapo ndipo yeye mzuka wake ninapoupandisha na kuushusha...Dah! mpaka naogopa kubuni mambo mengine maana huenda akanogewa ikawa tabu!!!!!!.....
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  sasa sajenti tatizo lako ni nini hasa?

  hutaki afurahie tendo au? kama hapo ndo panapomfurahisha na wewe hapakuchukizi kwa nini msiendelee nako tu

  na hata kama mkibuni sehemu nyengine na nyote mkafurahia tatizo liko wapi?
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Buni!! buni!!!sasa buni yakusimama atachoka unarudi karume!!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kata mti panda mti...
   
 5. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  hapo nilipo bold: Inaonekana unataka kubuni kitu kisicho sahihi ndo maana dhamira yako inakusuta. Ilipoamua kwenda kwenye kiti ilikuwa pouwa kwa kuwa ni kitu kizuri lkn sasa inaelekea unataka kumrusha ukuta. Kaka hiyoo si sahihi --- ushindwe na ulegeeee
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Not bad!!! it is begin with you!!vunja duka silako kuliko waje wakuvunjie wevi!!:nod:
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Endelea kula nae raha hapo hapo maana ndipo patamu kwake na ukihama tu ujue mali zako zitaanza liwa na mtu mwingine
   
 8. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Siku hizi kuna jamaa wanatengeneza viti vizuri sana vya chuma, fanya oda ya kimoja special kwa ajili ya kumkunia shemeji!
   
 9. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hiyo staili gani mnatumia? Au ndo mshuko wenyewe!!
   
 10. R

  Reena Member

  #10
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  dah! sasa fundi huwa mnamwambiaje
   
 11. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Hapo ndio panaponiacha hoi..fundi aliwahi kuniuliza hilo swali nilibaki nacheka tu...
   
 12. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Hilo behewa au kiti ambassodor?? ushauri mzuri nitaufanyia kazi sitaki nimkwaze mdau si unajua tena macho...........!!
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Nimeipenda hii FL1 ipe roho ile kitu inapenda au sio??
   
 14. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  siku nyingine muwahi sakafuni .... siku ingine mjaribishe na darini...!!:love:
   
 15. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,418
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  haya mambo ni noma sana kuna watu uwa wanamalizana kwenye dressing table na kuishia kuvunja kioo
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mshauri mfanye Threesome. Unaweza kumkaribisha kwa mfano Mwafrika wa JF au Boflo au sijui Mrembo gani wa hapa JF? Simsemi maana madada zetu sasa hizi watanipandisha mzuka wao wa Matusi

  Uamuzi ni WENU katika hiyo bahari ya mapenzi na onjaonja.

  Nenda kwa Mafundi vyuma wakutengenezee kiti cha Chuma na Bati....... hamkivunji hata muwe wanne.

  Ila msimalize nguvu zote kabla hamjaenda kujiandikisha na kumpigia kura Dr. Slaa.
   
 17. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Tayari hiyo...!:rant::rant:
   
 18. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Jaribu na juu ya meza..:nod::nod:
   
 19. papag

  papag JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 688
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Watcha gonna do when they come for you?
   
 20. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Jaribu mkiwa ndani ya maji ni blaahh:love:
   
Loading...