Wana JF huyo Mdada anahitaji ushauri
Mimi ni msichana wa miaka 29 nina elimu ya form 4 na nikasoma Secretary VETA miaka 2 pamoja na Computer n.k…Nikabahatika kupata kazi kwenye kampuni...
...Kama ningepata nafasi.... ningeomba nipewe ruhusa ya kuongea na aliyefanya mapenzi na mbwa....japo kumuuliza tu ilijisikiaje wakati anfanya kitendo hicho na kitu gani kilichomfanya amfuate mbwa...
Waume wengi wa siku hizi (sio wote) ndio maana tunawaita wanaume suruali mwanaume kazi kupiga mizinga mara nitumie vocha, au anakuita kukupa ofa halafu anasema mimi nalipia chakula vinywaji...
Enzi zetu barua kama hii ilikuwa ukishaiandika, unatafuta nafasi ya umdhamiliae awe peke yake ili uweze kumkabidhi, kwa hiyo waweza kukaa nayo kwenye mfuko wa madaftari hata week nzima.
Na je...
Mkuu ulituahidi kuwa utarudisha chat room alhamis.....nilikumbuka lakini nikajua utakua unamalizia malizia kuirekebisha.....na pia shughuli za uchaguzi zimepungua kidogo.....na week end ndio hii...
Binti wa Miaka 10 Ajifungua Mtoto Hispania
Wednesday, November 03, 2010 1:33 AM
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 10 wa nchini Hipsania amejifungua mtoto baada ya kufanya mapenzi na mtoto...
Pamoja na uzoefu wangu nakiri hii iliyonikamata sasa balaa. Inanimalizia hela zangu lakini kuchomoka nimeshindwa. Walahi nikifanikiwa kuchomoka hapa na ISC nahama...
Baada ya kuishi kwa miaka ya kutosha Dar es salaam... baada ya kuchakachua na kuchakachuliwa na maisha(katika anga zote unazojua)...nadiriki kusema..DSM HAIFAI...HASA KWA MAISHA YA KULEA...
Kuna dada mmoja nilitokea kumzimia sana miaka ya nyuma lakini pamoja na kumuimbisha nyimbo zote zikiwemo maarufu kama "akanana" hakuelewa somo. Aliamini kwamba alikuwepo mwingine ambaye yeye...
The husband and his young wife were not on good terms. In fact the wife
was convinced that he was carrying on with the pretty housemaid, so she
laid a trap. One evening she suddenly sent...
:typing::loco:Napenda kuingia kulee kwenye mambo ya kikubwa ila nashindwa, kuna sms ni lazima nitume maombi kwa invisiple, nimejitahidi ila sijafanikiwa.
pls mwenye kuelewa naomba anieleweshe...
Loving friends...
Katika katambuga yangu, jana nilipatika sana aisee... I was in the middle of a bunch of crazier guys than me. Tulikua tunakula bata ile mbaya na katika hoja nyingi, kuna moja...
Tumpe msaada huyu:
A very stressed woman, Ameolewa ana 2 kids bado wadogo, anampenda mumewe lakini sikuhizi mwanaume kama anamashetani amekuwa na mwanamke ambaye hata yeye hamjui ila anaona...
Ngoja nichapie tu kuhusiana na makabila ya kitanzania. Kwanza nianze na wahehe. Wanawake wa kihehe wana hasira sana. Ukimuudhi anaweza kujinyonga.
Ukijaribu kupata uroda kabla ya ndoa, inabidi...
Jamani nipeni ushauri,da gal i love most z ma close friend,nimemweleza kanitosa:sad: lakini anataka 2endelee kuwa close friends:thinking:,nikimkaushia analalamika sana,n she still comes to me...