Invisible nakukumbusha

Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,208
Likes
3,317
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,208 3,317 280
Mkuu ulituahidi kuwa utarudisha chat room alhamis.....nilikumbuka lakini nikajua utakua unamalizia malizia kuirekebisha.....na pia shughuli za uchaguzi zimepungua kidogo.....na week end ndio hii lazima tuwasiliane kupitia chat rum.....pleeeeeez :couch2:
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
79,380
Likes
43,067
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
79,380 43,067 280
Nataka ni chat na wewe
 
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2009
Messages
2,555
Likes
10
Points
135
Lily Flower

Lily Flower

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2009
2,555 10 135
Kweli mkuu we missed the chat room alot please do ze nidiful:hail:
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
0
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 0 145
Mkuu ulituahidi kuwa utarudisha chat room alhamis.....nilikumbuka lakini nikajua utakua unamalizia malizia kuirekebisha.....na pia shughuli za uchaguzi zimepungua kidogo.....na week end ndio hii lazima tuwasiliane kupitia chat rum.....pleeeeeez :couch2:
Haujambo mtoto mzuri mimi kumiss wewe, vere important, aisee nimemiss ka chat rum Invisible plz do the nidful
 
GY

GY

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Messages
1,280
Likes
0
Points
133
GY

GY

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2009
1,280 0 133
Sawa Preta nakumbuka ntairudisha sasaivii wish aseme hivo
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
55,148
Likes
33,490
Points
280
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
55,148 33,490 280
Preta hebu mpigie simu bana. Yani anatunyima ile kitu yetu ya ku do the needful bana.
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,829
Likes
140
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,829 140 160
Mkuu ulituahidi kuwa utarudisha chat room alhamis.....nilikumbuka lakini nikajua utakua unamalizia malizia kuirekebisha.....na pia shughuli za uchaguzi zimepungua kidogo.....na week end ndio hii lazima tuwasiliane kupitia chat rum.....pleeeeeez :couch2:
preta... mgongo uko wapi?
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
0
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 0 145
Preta naona sijui huyo binti kaficha nini huko hebu mwambie ajaribu ku-stretch miguu yake tuone itakuwaje:smile-big::bowl::bowl:
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,973
Likes
122
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,973 122 145
Preta kila nikiangalia hiyo picha najikuta natenda dhambi bila kukusudia
 
N

Ndinani

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Messages
5,411
Likes
730
Points
280
N

Ndinani

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2010
5,411 730 280
Preta mbona unabana kama chama cha mafisadi? Achia!!
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
0
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 0 145
Hivi invisible atakuwa amei-NEC chatrum?
 
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
6,445
Likes
388
Points
180
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
6,445 388 180
Ngoja mpaka jeikei aapishwe ndipo turudi kwenye viambaza vyetu kutokeana
 
Invisible

Invisible

Admin
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,101
Likes
511
Points
180
Invisible

Invisible

Admin
Joined Feb 11, 2006
9,101 511 180
We're working on something NEW na si ile ya zamani!

Nakumbuka SANA zaidi ya mnavyofikiria; na vitu vizuri tukivitoa kwa kukurupuka tutaharibu.

Akiapishwa rasmi Mhe. Lipumba kama rais wa Tz hiyo kesho basi tutahakikisha kila kitu kinaenda sawa. Au tuilete mpya kwa namna ilivyo mtavumilia bugs ndogondogo?
 
RR

RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Messages
6,776
Likes
256
Points
180
RR

RR

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2007
6,776 256 180
We're working on something NEW na si ile ya zamani!

Nakumbuka SANA zaidi ya mnavyofikiria; na vitu vizuri tukivitoa kwa kukurupuka tutaharibu.

Akiapishwa rasmi Mhe. Lipumba kama rais wa Tz hiyo kesho basi tutahakikisha kila kitu kinaenda sawa. Au tuilete mpya kwa namna ilivyo mtavumilia bugs ndogondogo?
Something better than nothing....
 
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,644
Likes
0
Points
145
The Finest

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,644 0 145
We're working on something NEW na si ile ya zamani!

Nakumbuka SANA zaidi ya mnavyofikiria; na vitu vizuri tukivitoa kwa kukurupuka tutaharibu.

Akiapishwa rasmi Mhe. Lipumba kama rais wa Tz hiyo kesho basi tutahakikisha kila kitu kinaenda sawa. Au tuilete mpya kwa namna ilivyo mtavumilia bugs ndogondogo?
Senksi Invizibo something is better than nothing
 
Forum statistics

Threads 1,205,300
Members 457,844
Posts 28,189,233