Bonge la ushauri aisee
Vitendo JF-Expert Member Oct 23, 2009 582 103 Nov 6, 2010 #2 hiyo ni noma,huo ushauri kama unamuona anyekupata una mpa tu mabomu ya machozi.
RayB JF-Expert Member Nov 27, 2009 2,752 194 Nov 6, 2010 Thread starter #4 Inafundisha watu wanaokimbilia kwenye columns kuomba ushauri kuhusu mapenzi au ndoa zao
B Bi. Mkora JF-Expert Member Oct 29, 2010 374 59 Nov 6, 2010 #5 Te te te teeee ha ha haaaaaaa! Duh! Hii kali kwelikweli.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,503 4,172 Nov 6, 2010 #6 Yap, ndio raha ya ushauri una uhuru wa kuukubali au kuukataa ushauri huo,akili kichwani!!