Hii nyumba ndogo balaa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii nyumba ndogo balaa...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Nov 4, 2010.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Pamoja na uzoefu wangu nakiri hii iliyonikamata sasa balaa. Inanimalizia hela zangu lakini kuchomoka nimeshindwa. Walahi nikifanikiwa kuchomoka hapa na ISC nahama...
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Pole sana mzee mzima hasa kwa kukosa msimamo/maamzi....
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  ctrl+alt+del
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  RR,
  Huoni kuwa ukimfundisha mbinu hiyo utamkosa mwanachama (of course na ADA zake) kwenye chama yenu?..
  Broda Tuko, that suit you are in is too expensive for Infidelity!
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa PJ bana.....ile chama haikimbiwi bana...!
  Ila wenye suti za ghali ndo mainfii wakubwa....si unakumbuka Lewinsky thing...
   
 6. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umekaa pabaya , angalia nyuma shimo mbele shimo pole mjomba:yield::yield:
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Ulimbo huo mkuu jitahidi kujinyofoa otherwise huna ndoa!
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  +Esc
   
 9. k

  kisukari JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,760
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  wanaume kazi mnayo,angalau umekuwa mkweli.hayo manjoinjo unayoyafata huko kwa nini usimwambie mke wako akufanyie?wacha uendelee kuchunwa. Badilisha mazingira na mke wako mapenzi hayafi jamani ila wote wawili msiwe wavivu. Na huyo wa nje ukishamuacha,utatafuta mwengine,jamani hamchoki?
   
 10. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 3,173
  Trophy Points: 280
  Watachoka vipi na wanawake ndio wanawafanya wasichoke. Wanawake wakibadilika na wanaume watabadilika. Nyumba ndogo ni wanawake wanazianzisha na kuzikuza wanaume wakati mwingine si wa kuwalaumu. Yes i said we do entertain infidelity
   
 11. c

  chanai JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afadhari P umekuwa mkweli
   
 12. A

  Ashangedere Senior Member

  #12
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwetu tunasema tema mate chini shetani apite..............
   
 13. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,083
  Trophy Points: 280
  mke na nyumba ndogo ni vitu viwili tofauti na unachofanya kwa nyumba ndogo vingi ni ngumu kumfanyia mkeo kule kuna huduma ya ziada
   
 14. k

  kisukari JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,760
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  hiyo ya ziada umuombe mkeo usimuonee aibu.kwani na hao wa nje,wana hasara tena kubwa tu.mbona wake wengine vya ziadamara moja moja huwa wanavitoa?ila hadharani huwa hawasemi,ukweli ndio huo
   
 15. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole kaka ulionja asali kumbe hukujua **** kuchonga mzinga.... nakupa moyo huko peke yako...mpo wengi wa aina yako mimi huyu niliyenae alitamani kutoka na kila siku namfukuza lakini hataki kusikia anakuja ooggh Mama kubwa naomba tena kama ile ya juzi nilienjoy sana ooogh ugali na dagaa unaonopikia sijawahi kula toka nizaliwe... na pia hii scrub ya mdalasini hutakatisha ngozi yangu... namuuliza wewe si umeoa na kwa nini usimlete mkeo nimfundishe akufanyie....anadai hii yangu ndio kubwa zaidi.....

  Nami nimpagawisha kila akija namuongeza dozi za uhakika....kaka endelea tuu kulipia kwani kule ulilipa mahari na huku walipia huduma unazopata...
   
 16. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mama Big, we na da sophy mna undugu?
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  duh! mama big,
   
 18. k

  kisukari JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,760
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  mama g maneno yake ni da sophy kwisha kazi
   
 19. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #19
  Nov 5, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mama big, Da Sophy hawana tofauti na wadada wengine mlio humu. Labda tofauti yao ni kuwa wao wanaongea ukweli...
   
 20. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kumbe wewe ni she. I see nadhani ulitaka kuandika swirii badala ya diabates. Either way hebu tuonane PM kwanza.
   
Loading...