Baada ya kuishi kwa miaka ya kutosha Dar es salaam... baada ya kuchakachua na kuchakachuliwa na maisha(katika anga zote unazojua)...nadiriki kusema..DSM HAIFAI...HASA KWA MAISHA YA KULEA FAMILIA/NDOA..
Uongo?:thinking:
mlee mtoto katika njia kitika misingi ya dini (neno la Mungu) ndio itakayomsaidia kuhama haitasaidia kila mahali pameharibika sikuhizi.
umenikumbusha kabla sijaondoka nilikuwa naishi kinondoni iatokea watoto wadogo wa kiume mmoja miaka4 mwingine 3,huyu wa 4 akamlalia mwenzie juu kama anam..... na wote wa kiume,mzazi wa aliyelaliwa akaenda shtaki iustaarabu wazazi wa waliolalia wakacheka sana wakiona sifa kumbe huyu anayelalia wenzie anaharibiwa na kakake mkubwa wa miaka 13 na kaka mtu anaharibiwa na wenzie wakubwa zaidi nilipohama nikasema ahaste Mungu.Tena maeneo ya Kinondoni na baadhi ya maeneo ya Mwananyamala. Machangudoa, mateja, vibaka, makuwadi na kila aina ya uchafu.
Kwa hakika Dar hapafai kabisa kuishi na familia hasa watoto wanaokua.
mlee mtoto katika njia kitika misingi ya dini (neno la Mungu) ndio itakayomsaidia kuhama haitasaidia kila mahali pameharibika sikuhizi.
Mkuu naunga mkono kwa asilimia zote... maisha ya Dar na hasa maofisini ni ya kufeki na hayana maadili kabisa, heshima ni ndogo na uongo umezidi, wengi tunaishi maisha yasiyo yetu na tunadanganyana sanaBaada ya kuishi kwa miaka ya kutosha Dar es salaam... baada ya kuchakachua na kuchakachuliwa na maisha(katika anga zote unazojua)...nadiriki kusema..DSM HAIFAI...HASA KWA MAISHA YA KULEA FAMILIA/NDOA..
Uongo?:thinking:
Hili ndio jambo la msingi mengine ni matokeo
Mkuu naunga mkono kwa asilimia zote... maisha ya Dar na hasa maofisini ni ya kufeki na hayana maadili kabisa, heshima ni ndogo na uongo umezidi, wengi tunaishi maisha yasiyo yetu na tunadanganyana sana
Upigaji ndio usiseme, uzungu koko ni balaa
Lakini je, tukaishi wapi?
sasa tukimbuilie wapi?
Baada ya kuishi kwa miaka ya kutosha Dar es salaam... baada ya kuchakachua na kuchakachuliwa na maisha(katika anga zote unazojua)...nadiriki kusema..DSM HAIFAI...HASA KWA MAISHA YA KULEA FAMILIA/NDOA..
Uongo?:thinking:
Hivi unadhani Machangudoa, mateja, vibaka, makuwadi ........n.k wote wamelelewa na kukulia Dar...?? Kwa taarifa yako wapo waliolelewa na kukulia KIbosho, Rulindi,.........Chiungutwa........... Orkasmet........... Kishumundu........... Kaisho........Tena maeneo ya Kinondoni na baadhi ya maeneo ya Mwananyamala. Machangudoa, mateja, vibaka, makuwadi na kila aina ya uchafu.
Kwa hakika Dar hapafai kabisa kuishi na familia hasa watoto wanaokua.