Tahadhari - Wachumba wa Makabila

Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
5,063
2,471
Ngoja nichapie tu kuhusiana na makabila ya kitanzania. Kwanza nianze na wahehe. Wanawake wa kihehe wana hasira sana. Ukimuudhi anaweza kujinyonga.

Ukijaribu kupata uroda kabla ya ndoa, inabidi uwe mjanja wa kusoma. Ukimkaribisha nyumbani atakuja na Biblia. Na ukijaribu kupapasapapasa atakwambia "wewe endeleaga tu thi (ni) thambi (dhambi) thako (zako) mwenyewe".

Stay tuned na makabila mengine.
 
Wajaluo:

Wademu wa kijaluo wanapenda mieleka. Ni sifa kwa mwanamke kuwa mgumu. Hivyo akija nyumbani atakuwa amevaa chupi saba na sketi tatu. Kuondoa sketi ni lazima utumie nguvu. Na kuondoa chupi vilevile. Hivyo ni lazima ujiandee na mashindano ya mieleka.

Stay tuned
 
Wakulya:

Kuonyesha mapenzi kwa demu wako wa kikurya ni lazima uwe unampiga. Kwani kukimpiga demu unaonyesha kuwa una wivu na unampenda. Na akipigwa anakwenda kusimulia wenzake kuwa anapendwa.

Stay tuned.
 
Wachaga wa Rombo:

Kama wewe ni mtafutaji wa mali utapendwa sana. Lakini wewe ni dume la mbegu na jiandalee kufa mapema.

Stay tuned.
 
Wazaramo:

Mwanamke wa kizaramo lazima awe na shamba na kibustani. Inabidi uchague nafasi yako mapema. Je wewe ni shamba au kibustani.

Stay tuned.
 
Mwanyakyusa:

Wana ndevu. Na watabiri wa mambo wanasema ni dalili za pesa. Hivyo jiandae kuwa na mwanamke mfanyakazi, mtafutaji na atakaye kuruhusu kulala kilabuni lakini usiwe na wivu tu ndugu yangu.

Stay tuned.
 
Wachaga wa marangu

Msichana anajidai kukukataa na kelele nyingiiiiiii,ngekapa keleouwii(nitapiga kelele)kumbe yeye ndio anakutaka kuliko wewe unavyomtaka, na usifikiri ni wewe unayetakiwa ni pesa yako tu.
 
Msichana wa kinyamwezi

Ukienda uko circumsized na unatumia mpira watatangaziana kijiji kizima fulani ni mgonjwa ukikutana nae anavaa sijui tunini, kama yale wanayopuliza watoto na ukimuangalia lidudu lake lina kichwa kama nyoka msimkubali atawapa ugonjwa wa mjini.
 
Wajaluo:

Wademu wa kijaluo wanapenda mieleka. Ni sifa kwa mwanamke kuwa mgumu. Hivyo akija nyumbani atakuwa amevaa chupi saba na sketi tatu. Kuondoa sketi ni lazima utumie nguvu. Na kuondoa chupi vilevile. Hivyo ni lazima ujiandee na mashindano ya mieleka.

Stay tuned
mmh nimecheka we bwana mwongo
sa chup 7 atavaaje?? eeh aya
 
Ngoja nichapie tu kuhusiana na makabila ya kitanzania. Kwanza nianze na wahehe. Wanawake wa kihehe wana hasira sana. Ukimuudhi anaweza kujinyonga.

Ukijaribu kupata uroda kabla ya ndoa, inabidi uwe mjanja wa kusoma. Ukimkaribisha nyumbani atakuja na Biblia. Na ukijaribu kupapasapapasa atakwambia "wewe endeleaga tu thi (ni) thambi (dhambi) thako (zako) mwenyewe".

Stay tuned na makabila mengine.

Duh, nimezaliwa na kukulia uheheni, sikuwahi kusikia hicho kitu kinaitwa sambi sako mwenyewe!!! nasikia haya, kwenye mitandao na kwa watani zetu kama vile wangoni. Ni sawa na tuhuma za kuwa wahehe ni wala mbwa. Tumeishi na babu zetu tangu enzi hizo hatukuwa kuona mbwa ametumika kama kitoweo. Kwa ujumla hizi ni statement ambazo zilianzishwa na watani wa makabila tu, hazina ukweli wowote. Na sidhani kama kumla demu wa kihehe ni rahisi kama unavyoweza kudhani. Nimekuwa na safari za kikazi maeneo mengi ya nchi, na ninafahamu jinsi ilivyo vigumu kumpata demu anayejiheshimu wa kulala naye guest ukiwa mkoa wa Iringa.
Kafanye research ya kutosha kabla ya kutoa hizi tuhuma.
 
na thithi wapare na wachagga wa marangu jee?

Watoto wa kipare wafupi sana. Nasikia Nyerere alifanya ziara kule, basi wakaja kumsikiliza. Kabla ya kutoa hotuba yake akawaambia kaiteni wazazi wenu. Wapare wakajibu ni thithi baba zako ni thithi mama zao.
 
Kwa wandamba.

Kule wanakula ugali wa muhogo. Hivyo ukitaka kupata jiko ni lazima ufanye test la mapishi. Ukiletewa sahani ya ugali inabidi ukate tonge na utupe ukutani. Tonge likinasa basi ndoa imekwisha kwa sababu hajui kupika. Tonge likidongoka, mke huyo !!!!!!!!!!!.
 
Duh, nimezaliwa na kukulia uheheni, sikuwahi kusikia hicho kitu kinaitwa sambi sako mwenyewe!!! nasikia haya, kwenye mitandao na kwa watani zetu kama vile wangoni. Ni sawa na tuhuma za kuwa wahehe ni wala mbwa. Tumeishi na babu zetu tangu enzi hizo hatukuwa kuona mbwa ametumika kama kitoweo. Kwa ujumla hizi ni statement ambazo zilianzishwa na watani wa makabila tu, hazina ukweli wowote. Na sidhani kama kumla demu wa kihehe ni rahisi kama unavyoweza kudhani. Nimekuwa na safari za kikazi maeneo mengi ya nchi, na ninafahamu jinsi ilivyo vigumu kumpata demu anayejiheshimu wa kulala naye guest ukiwa mkoa wa Iringa.
Kafanye research ya kutosha kabla ya kutoa hizi tuhuma.

Kwikwikwi, acha uzalendo. Halafu mna hasira sana kule.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom