Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za toka mwaka jana wana Jf. Kwanza na mshukuru mungu kutupa uzima. Kuna jambo limekua likinitatiza kwa muda mrefu sasa, sijawahi kupata jibu na nimeshawahi kujaribu kuchunguza kwa wahusika...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimekulia ktk suburbs za Ubungo,na naelewa majukumu ya nyumbani kama MWANAMKE yanavyochosha....nakumbuka 6.45 asubuhi tuko kisimani tunachota maji,lazima urudie ndoo kadhaa kujaza pipa!ufagie...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
29 December 2010 Last updated at 22:53 GMT 'No Anorexia' model Isabelle Caro dies aged 28 Posters featuring Isabelle Caro...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Confidence crisis: How the average overweight woman feels humiliated on a daily basis Last updated at 10:53 AM on 3rd January 2011 Crisis of confidence: The average overweight woman...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hellow wanafamilia wenzangu, Heri ya Mwaka Mpya kwenu wote. Huu ndio ujumbe nilionao kwa wale ambao wako kwenye ndoa na wale walioko kwenye mahusiano kwa mwaka huu wa 2011. Maisha ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ndugu wadau wa JF, heshima mbele daima kwenu. naomba nielekee moja kwa moja kwenye point ya kila kilichonifanya niandike hii post. Mimi nina girl friend wangu tuna kama miezi 6 hivi. Ila tunaishi...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
I am a man of below 30 yrs natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27 mcha Mungu, mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake. PM me please for further contact I present
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hili ni tatizo katika jamii yetu! Japo kila mtu anajua moyoni mwake uzito wa hii Taabu. Ikitokea mpenzi wako..anaweza kua ni mume au mke...au bwana yako au bibi ya wewe...anaanza kukutishia...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Kuna msemo mmoja unachukua umaarufu kwa kasi siku hizi, uamsikia mtu anasema "CHAPA ILALE", sijui huwa wanamaanisha nini, msaada pls.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA
0 Reactions
85 Replies
11K Views
Ikiwa demu alokunywea bia zako bar anapotea katika mazingira ya kutatanisha... akiwa amekomba simu zako zote(ambazo zina washirika wako kikazi na data muhimu) na wakati huohuo watarajia simu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hepi nyu yaaaaaaaaaaa wanafamiliaaaaa.... tuzidi kupendana...!!
0 Reactions
22 Replies
2K Views
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: Hawa vijana watatu wapo Mkoani mbeya maeneyo Lughombo wanajishughulisha na kilimo kama timu, hawajawahi kuoa, sasa wamechoka na maisha ya kibachela kwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna siku nilitokewa na ndoto nzuri na ya kupendeza.Usiku huo niliota nipo na msichana mrembo wa kuvutia ambaye kila kijana pale mtaani alikuwa akitamani kuwa naye.Na mimi katika ndoto hiyo...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Mkeo ukiona anaomba ruhusa yakutoka 2week be for ujue kunakitu sichakawaida!!jifanye kama ujali maana kilasiku atakuwa anakukumbushia hasa siku zikiwa zimekaribia akikumbishia mwambie sawa darling...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Wanasema ni 3 in 1. Sijui ilitokea vipi hadi ikawa hivi. Ila 1st January kila mwaka ni: Siku ya Kwanza ya Mwaka Mpya Ni siku yangu ya Kuzaliwa Ni siku tuliyofunga ndoa na shemeji yenu...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Wana JF ni muda wa zaidi ya mwaka mmoja sasa sijaonana na Mchumba wangu amabaye hata Engagement tulishafanya.Huku nilipo nipo kikazi na ninaamini kuwa nikirudi nitamkuta salama. Hata hivyo...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Jamani kuna hizi salamu mimi naweza ziita za kileo, mimi ni man, sasa utakuta demu ambaye mnafahamiana tu au mnafanya kazi ofisi moja na wala si wapenzi, anakuja anakusalimia kwa kukukumbatia kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama ada yetu Wanamapenzi, Kila mtu hupenda Akipendacho lakini hapa sasa, Hata kama ni mgeni mwenye uzito gani huwa hapewi, kila mtu hupewa zawadi lkn hii katu haitolewi zawadi, Ukinasa wallah...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…