Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hadi mwaka unaisha nashikilia hii identity mwaka 2011 nataka kuachana nayo wana jf naomba mnipe experience ya huko niendako pia nakaribisha maombi kwa wale opp sex walio single twaweza fanya...
0 Reactions
82 Replies
6K Views
I am a man of below 30 yrs natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27 mcha Mungu(mi ni mkristu), mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake. PM me please for further contact I...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mm natarajia kuhtim masomo yangu kwenye chuo kimojawapo hapa tanzania, lakini akilini mwangu nina mawazo makuu mawili; kupata ajira na kuoa. Nimemweleza mpenzi wangu kuhusu mipango ya harusi yangu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna uwezekano 2010 ulikwa mwaka mzuri sana kwako kimapenzi, HONGERA ulimfanyia mpenzi wako jambo jema sana.Lakini pia kuna uwezekano uliteleza na ukafanya usichokipenda au kutarajia .Kwa tafakari...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
UTAFANYEJE YAKIKUKUTA HAYA MAMBO HAPA CHINI? 1. Umeoa mke, na umezaa naye watoto watano, wengine wako shule ya msingi wengine chekechea 2. una tabia ya ulevi kila mtu mtaani anakujua. 3...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Samahani sana wana jf, naomba mnipe ukweli kuhusu hawa madada zetu wenye fani za unesi. Nasikia hawa watu ndo wa kwanza katika kusaliti ndoa zao kwa kutembea na madaktari wanapokuwa kwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
:drum:WAUNGWANAEEEEEEEE HERIN YA MWAKA MPYA...............2011 SKIA HIIIII!!!!!!!!! MPO SAFARINI WEWE NA MAMA YAKO NA MKE WAKO KWENYE MTUMBWI MNAVUKA MTO UPANDE WA PILI MARA GHAFLA GHARIKA...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau nami ni miongoni mwa wageni wa hapa, NAKULA KIAPO:mimi bajabir,naapa kwamba,nitakua mwanajamii hai,nitatoa michango ya kujenga na kuibua hoja madhubuti,nitazngatia masharti yote ya jamii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipeni maoni. Kwa nini mama amnunuliapo chupi mtoto wake wa kiume (aliyepevuka) haileti picha mbaya kama baba akifanya hivyo kwa mwanae wa kike?
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanajamvi nimekutwa na swaib moja, xgirlfriend wangu ambae tuliachana kama miaka minne nyuma kipindi hicho tukiwa ndo kwanza tumeanza tu chuo leo anadai bado ananipenda, nakumbuka tulipomaliza...
0 Reactions
85 Replies
8K Views
Poleni na uchovu wana JF! Dunia ina mambo! Ukishangaa ya farao utakutana na ya mwingine... Hivi kuna makabila au jamii ambayo yenyewe ni majiant kwa kuchapa bakora? Au kuchapwa bakora? Mimi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Role of the Husband in the Bible"But if any man does not provide for his own, and especially for those of his household, he has denied the faith and is worse than an unbeliever. " 1 Timothy...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari za toka mwaka jana wana Jf. Kwanza na mshukuru mungu kutupa uzima. Kuna jambo limekua likinitatiza kwa muda mrefu sasa, sijawahi kupata jibu na nimeshawahi kujaribu kuchunguza kwa wahusika...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimekulia ktk suburbs za Ubungo,na naelewa majukumu ya nyumbani kama MWANAMKE yanavyochosha....nakumbuka 6.45 asubuhi tuko kisimani tunachota maji,lazima urudie ndoo kadhaa kujaza pipa!ufagie...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
29 December 2010 Last updated at 22:53 GMT 'No Anorexia' model Isabelle Caro dies aged 28 Posters featuring Isabelle Caro...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Confidence crisis: How the average overweight woman feels humiliated on a daily basis Last updated at 10:53 AM on 3rd January 2011 Crisis of confidence: The average overweight woman...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hellow wanafamilia wenzangu, Heri ya Mwaka Mpya kwenu wote. Huu ndio ujumbe nilionao kwa wale ambao wako kwenye ndoa na wale walioko kwenye mahusiano kwa mwaka huu wa 2011. Maisha ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ndugu wadau wa JF, heshima mbele daima kwenu. naomba nielekee moja kwa moja kwenye point ya kila kilichonifanya niandike hii post. Mimi nina girl friend wangu tuna kama miezi 6 hivi. Ila tunaishi...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
I am a man of below 30 yrs natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27 mcha Mungu, mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake. PM me please for further contact I present
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom