Jinsi ya kumgundua mkeo kama anataka kwenda katka miadi!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,542
8,535
Mkeo ukiona anaomba ruhusa yakutoka 2week be for ujue kunakitu sichakawaida!!jifanye kama ujali maana kilasiku atakuwa anakukumbushia hasa siku zikiwa zimekaribia akikumbishia mwambie sawa darling nimeisha kuelewa hiyo siku yeye anayotaka kutoka shinda nyumbani siku hiyo atafanya shughuli zake mapema saa tano ameisha maliza kajipodoa pafyum yake kajipulizia wewe nenda chumbani jilaze lazima akuage sasa jifanye unatoka katika usingizi kabla ajaondoka muite preta njoo akija mwambie nataka game!!atakukatalia kwanguvu zote nawewe usilegeze msimamo akija do one goal!!mwambie haya sasa unaweza kwenda utaona kanyong'onyea mara aseme sijui nisiende??akienda hatakaa mda mwingi atarudi sasa jiulize maandali ya week 2 yalikuwa ya nini??jua kulikuwa na jambo hiyo ndiyo dawa!!Happy new year.
 
Ktk sayansi huwa wanaweka factors mbalimbali (km temperature, pressure, etc) kuwa costant ili ku-deal na factor moja! Kwa mfano wako umeangalia factors nyingine zinazoweza kumfanya mkeo aahirishe safari zaidi ya kumtaka kimapenzi akakataa?
 
Mkuu hii ndiyo final!!
 
Hee! We kaka kwani mkeo akikwambia anataka kutoka ni lazima awe anaenda ku do?
Kumlazimisha penzi ndio ubakaji wenyewe.
Kama unahofu na anapoenda si uende nae.
 
unamwambia akirudi tena una hamu ya game?hivyo akipiga hesabu bao zaidi ya tatu mhh atahairisha
 
Hawezi kukubali anajua utamgundua na hawezi kwenda kwenye mihadi wakati down kumesha harabika!!!....lol!
 
with due respect bro, personally i believe that human beings are so complex that they can not be interpreted in such simple fashions. sorry, i disagree with this one.
 
Hivi machangudoa wanafanya na wangapi kwa siku vile? Je hawaaribiki au kuchoka?
 
Mkeo ukiona anaomba ruhusa yakutoka 2week be for ujue kunakitu sichakawaida!!jifanye kama ujali maana kilasiku atakuwa anakukumbushia hasa siku zikiwa zimekaribia akikumbishia mwambie sawa darling nimeisha kuelewa hiyo siku yeye anayotaka kutoka shinda nyumbani siku hiyo atafanya shughuli zake mapema saa tano ameisha maliza kajipodoa pafyum yake kajipulizia wewe nenda chumbani jilaze lazima akuage sasa jifanye unatoka katika usingizi kabla ajaondoka muite preta njoo akija mwambie nataka game!!atakukatalia kwanguvu zote nawewe usilegeze msimamo akija do one goal!!mwambie haya sasa unaweza kwenda utaona kanyong'onyea mara aseme sijui nisiende??akienda hatakaa mda mwingi atarudi sasa jiulize maandali ya week 2 yalikuwa ya nini??jua kulikuwa na jambo hiyo ndiyo dawa!!Happy new year.

Huo ni uongo uliokomaa do you have any evidence that if your wife is going out is for evil things? are you married may be you are still young am sorry for you my dear brother!
 
What do you mean??sorry for you but i have a grand she,he!!
 
Hii yako kali
Mkeo ukiona anaomba ruhusa yakutoka 2week be for ujue kunakitu sichakawaida!!jifanye kama ujali maana kilasiku atakuwa anakukumbushia hasa siku zikiwa zimekaribia akikumbishia mwambie sawa darling nimeisha kuelewa hiyo siku yeye anayotaka kutoka shinda nyumbani siku hiyo atafanya shughuli zake mapema saa tano ameisha maliza kajipodoa pafyum yake kajipulizia wewe nenda chumbani jilaze lazima akuage sasa jifanye unatoka katika usingizi kabla ajaondoka muite preta njoo akija mwambie nataka game!!atakukatalia kwanguvu zote nawewe usilegeze msimamo akija do one goal!!mwambie haya sasa unaweza kwenda utaona kanyong'onyea mara aseme sijui nisiende??akienda hatakaa mda mwingi atarudi sasa jiulize maandali ya week 2 yalikuwa ya nini??jua kulikuwa na jambo hiyo ndiyo dawa!!Happy new year.
 
Tena ukitaka kumkomesha zaidi akija kukuaga kitandani mwambie dear hata mimi nilitaka kwenda hiyo sehemu basi tutaenda wote. Ukimaliza nilitaka kwenda kumtembelea ndg yeyote mtaje walaah ataahirisha na kuanza kusema kuwa kama tunaenda na wewe basi mimi siendi au akagaili kabisa ukiona hivyo jua alitaka akamegwe!
 
duh we vipi mbona hiyo c tabu ni suala la yy kuingia bafu kuoga na kusafisha mashine vidhuuri na akifika kwenye miadi anaburudika kwa raha zake , cha msingi ni ww kumridhisha kama ukimshughulikia kwa lengo la kumkwamisha unajidanganya
 
Hapo umeongelea house wife!!!!!!! all in all mwanamke/mwanamme akitaka kusaliti ndoa ana muda wa kutosha kabisa. hata haihataji ku involve other party
 
Kakakiza ukiona hoja inapingwa bila hoja ujue umewashika pabaya.Thanx kwa kutujuza !!
 
mie nimependa avatar yako mpya ..kakakiiza,sijui ushafika mjini ukafanya mascrub,manake ile iliyopita ilikuwa noma....:redfaces::redfaces:
 
Hapo Mkuu kwa wale wanaopenda ngoma iliyochakachuliwa kabla basi utakuwa umewaandalia vizuri kweli,na kama wewe mwenyewe ukionja ngoma iliyochakachuliwa kabla yako basi nadhani utaanza kuchukua wake za watu na utawapa sharti kabisa kuwa kabla ya kuja kwangu mumeo akuchakachue japo kidogo,maana utamu wake hauelezeki,na kama huniamini mimi tafuta wazee wa mitungo watakuhakikishia hili ninalokuambia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom