Hivi hii ni kawaida, nahisi mwaka mwaka unaisha vibaya kwangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii ni kawaida, nahisi mwaka mwaka unaisha vibaya kwangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gudboy, Dec 31, 2010.

 1. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  ndugu wadau wa JF, heshima mbele daima kwenu.

  naomba nielekee moja kwa moja kwenye point ya kila kilichonifanya niandike hii post. Mimi nina girl friend wangu tuna kama miezi 6 hivi. Ila tunaishi mikoa tofauti kwa ajili ya majukumu ya ujenzi wa Taifa. Yeye anafanya kazi huko kanda ya ziwa na mimi ni mwanafunzi wa chuo hapa jijini dar.

  nilipanga kwenda kumtembelea wiki hii ya mwisho wa mwaka, lakini kutokana nakwambanilikua nimetoka safari nyingine ndefu hivyo nilishindwa kwenda na badala yake akaniambia aje yeye, mana ni muda mrefu sana hatujaonana. Hapo awali tumeishi wote kwa muda wa miezi 2 hivi.

  Jana kaibu hapa nami nikampokea kwa masham sham kibao mpenzi wangu, wakati wa kulala ulipowadia tukajitia ndani ya kitanda. (sio kwamba nakuja kumdhalilisha demu wangu hapa, la hasha ila nataka kujua,naomba msinitafsiri vinginevyo zaidi ya kunielewesha). Sasa wakati wa kuduu ulipofika nikamwandaa kama ilivyo ada, kweli alipokua tayari nami nikaingiza dudu, nikapiga mashine sana, sasa wakati naendelea nikashangaa kuona maji mengi sana kule isivyo kawaida,nikavumilia nikaenda weeee hadi nikamaliza la kwanza. huwa nina kawaida ya kuendelela (vijana wanaita 2 in 1), hivyo wakati naendelea mle ndani yale maji yakawa sasa yanapiga kelele kama vile bahari inavyopiga mawimbi. yaani nikipushi ni pwaaa pwaaa pwaa, kwa kweli hii hali ilinikatishia stimu kabisa hadi jogoo akanywea. Ikabidi nimuulize mwenza kulikoni leo maana tangu nipo na wewe hii hali sijawahi kuiona?

  Kwanza alikuja juu na kuniambia mimi najua, nikamwambia najua kwani tunaishi wote huko au huu mwili wako ni wangu au mimi pia ni mwanamke? Baadae ndio akasema inawezeka hiyo safari ndefu aliyosafiri au hali ya hewa mana huko hakuna joto kama huku hivyo inawezekana imemuathiri ndio maana kuna maji mengi. Pia akadai kwa kuwa nimekojoa humo ndani ndio maana kuna maji, ila nikambishia na kumwambia mbona kipindi kile nilikua nafanya hivi lakini yaani napiga 2 in 1 lakini haikua kama hivi? Baadae nikamwambia akanawe ndio nikapiga la 2.

  sasa wadau je ni kweli hali hii hujitokeza kama nilivyoeleza? wadada na wakak wenye wapenzi mabadiliko haya ni ya kawaida au kuna mtu anamchakachua huko aliko? Naomba mnishauri vizuri maana nahisi mapenzi yetu yanaweza kuisha mara baada ya kuondoka, nachukia sana nikachakachuliwa demu wangu.

  natanguliza shukrani
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  pole mwaya
  nunua mataulo ya kutosha!!!!!!!!!
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mpeleke hospital
  its just minor pbm
  haupasw kununa.
   
 4. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  thanx rose1980, nitamshauri ili nimpeleke kama ulivyoshauri
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  gudboy.
   
 6. Atoti

  Atoti Senior Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kama anakula bamia, nyanya chungu na matango aache kabisa..
   
 7. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  nashukuru sana mkuu, wl work on it
   
 8. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  ila umenibadilisha mawazo kabisa kwa jinsi unavyopiga kobisi, hilo jicho na mdomo utanifanya niwe badboy muda si mrefu
   
 9. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pole GB kwa ulokutana nayo.Ukweli kuhusu hilo tatizo huwezi sema moja kwa moja ni jambo gani kwani kila kitu kinaweza husika hapo kama:-
  1.kufanya mapenzi na mtu mwenye mashine iliyomzidi ukubwa hivyo kumchana na kukaa na tatizo kwa zaidi ya wiki mbili bila kushughulikia.
  2.kuwa na ugonjwa wa fangasi ambao husababishwa na vitu vingi ikiwemo mazingira ya chooni,kushare nguo,kutonawa baada ya mapenzi n.k
  3.kuwa na kidonda sehemu za siri au muwasho unaotokana na joto kwa zaidi ya wiki

  NINI CHA KUFANYA.

  waweza mpeleka hospital kujua tatizo na watampima kaswende.kama hana atapatiwa dawa za kawaida ambazo zinapatikana pharmacy.
  ushauri wangu.
  1.nenda duka la dawa kubwa ambalo halikosi daktari au mnunulie dawa inayoitwa candistant ni dawa ya kutumbukiza ukeni siku sita.
  2.akae mwezi mzima baada ya dawa bila kufanya mapenzi.
  3.ajitahidi kuwa msafi hasa sehemu za ndani na atumie kidole cha kati kutoa uchafu kila aogapo.
  4.kama anafanya mapenzi kavu,mapema baada ya kitendo ajichekeshe ili kuruhusu mbegu kutoka mapema na kuzuia muwasho baadaye
  5.atumbukize barafu ndani ya uke kwa dakika tano angalau mara moja kwa wiki baada ya kuoga ili kuibana mashine na kuvuta uchafu utoke
  6.kila anapokaa ajitahidi kubana miguu.hii husaidia sana kuifanya mashine ibane na iwe nzuri na mpya

  onyo.

  kuunganisha mabao wakati mnafanya kavu ni moja ya matatizo haya kwani husababisha mchubuko na muwasho baadae kutokana na msuguano wakati mbegu ziko ndani.acha hizo mambo bana.

  kwa ushauri zaidi mwambie huyo dada anitafute naye ataifurahia mashine yake.
   
 10. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Your the Firstlady and you deserve it, umenipa ushauri mzuri sana na nakuahidi nitaufanyia kazi. umenifariji sana, nakushukuru sana. Pia nakuhakikishai hapo kwenye red sitorudia tena, kamwe.......
   
 11. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwa style hii kweli ubinadamu kazi, na hasa unapokuwa kiumbe cha kike!!!!!!
   
 12. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Your the Firstlady and you deserve it.
  asante wangu na kama utafanyia kazi nitafurahi pia kwani italeta matokeo mazuri.
   
 13. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wapi bacha mbona kazi ndogo tu hiyo.tatizo mnatubagua sana ndo maana inabidi tujitume
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi FirstLady ule msemo wa mtaani wa kusema kuwa, manii ya mwanaume yakiingia ukeni wakati wa kujamiiana yana uwezo wa kumrutubisha vizuri mwanamke na hasa upande wa kwenye hips ni ya kweli?
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Na kama alikuwa hali pilipili aanze kula...........
   
 16. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  inategemeana kama mtaendana na mwanamke huyo.yawezekana ukala vizuri protini za kutosha na ukampausha mdada balaa.nadhani ni damu kupatana tu ila asilimia kubwa ya wanawake hupendezeshwa kwa mbegu.
  apart from hips hata usofty wa sura na mng'ao husaidiwa sana na mbegu,ila tatizo huja pale mdada anapozichanganya za watu wawili au zaidi kwa kipindi kimoja.
   
 17. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duh haya ma-xperience inawezekana yamenipita kimo hata mimi mwenye jina halisia ahhahahaha
   
 18. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hahaha...........
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwan ulimkutaje na baada ya kumpa protn zako yukoje sasa?kapauka kameremeta?
   
 20. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Honestly I am proud of you, You are Useful humu ndani................................................but Kaujumbe Hapo chini ndo kananimaliza " NEVER TRUST A MAN EVEN A DEAD ONE'''''''Why First Lady?


   
Loading...