wanawake kujiachia.....baada ya uzazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanawake kujiachia.....baada ya uzazi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by pauline, Jan 1, 2011.

 1. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimekulia ktk suburbs za Ubungo,na naelewa majukumu ya nyumbani kama MWANAMKE yanavyochosha....nakumbuka 6.45 asubuhi tuko kisimani tunachota maji,lazima urudie ndoo kadhaa kujaza pipa!ufagie uwanja wa nje,upige deki nyumba utengeneze breakfast....nk

  ..........ukiwa na mtoto means majukumu yanaongezeka!....kumuangalia mtoto24/7 kufua, kupika at the end of the day...mwili unakuwa umechoka na hupati nafasi tena ya kujiangalia mwenyewe kimavazi na nywele ili mumeo akija akukute umependeza!:painkiller::painkiller::target:.............cha kushangaza hapo ndipo wanaume wanatafuta nyumba ndogo kwa kisingizio kuwa wake zao wamepoteza mvuto,hawajipendi tena.....kwa muda tumekuwa tukinyooshewa vidole kuwa ni makosa yetu wao kutoka nje!!!!..........Jamani inauma mumeo kutoka nje...ila kuambiwa ni wewe umesababisha INAUMA ZAIDI!

  .........i understand mnakuwa mmechoka mnaporudi nyumbani,ila jaribu kumsaidia mkeo uone km hatakupa attention?kwa mfano ukifika na kumkuta hajaoga,ukifika mchukue mtoto kutoka kwake umbembeleze ,mwambie wkt unabembeleza mtoto aende kuoga....uone kama hatatoka amevutia??LOLS...........au umkute anapika unamsaidia kukata vitunguu....ukakaa hapo jikoni mpk anamaliza kupika..................sie wanawake ni watu wa hisia zaidi unaweza ukawa unafanya vitu vidogo saana ila ukawa unasend ujumbe kuwa UNATUJALI...at the end of the day,lazima utapata attention unayotaka tu!........na sie wanawake ifike mahali tu-swallow pride zetu tukubali sometimes tunachoka!!!hivyo mtu(mwanaume) akijitolea kutusaidia tukubali!!!!......................

  kwa wakaka km hupati ATTENTION kutoka kwa mkeo....solusheni sio kutafuta nyumba ndogo!,solusheni ni ku-DO SOMETHING....kuhakikisha unapata hio attention...........tulieni tulee watoto....dawa ya ukimwi bado haijapatikana besides all that progress....hivyo tusiongeze mayatima duniani kwa mambo ambayo tungeweza kuyazuia!!!

  HAPPY NEW YEAR!!!!!!!!!!!!!!!!!!! KM HAMTANIELEWA AM VERE SOREEEEEEE LEO NAKUNYWA KWA FUJO! 2010 HAS BEEN BAD YEAR FOR ME I SPENT ALMOST 6 MONTHS IN HOSPITAL......SO MIE LEO NINA RAHA SAAANA HUO MWAKA UMEISHA...LOLS!:rofl:
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Du pole sana...... What was wrong?.....
   
 3. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Umesema mambo mazuri, lakini usiende kunywa kiasi hicho,sio busara mwanamke kulewa. Tutatafuta nyumba ndogo???
   
 4. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafuta na kadogo chake hiyo ndogo uipromote iwe smallforewomen house........... nakuombea get well soon kabla hujapata hako kaugonjwa kasiko na tiba:teeth:
   
 5. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahahaah kwa nini utafute ndogo?hautatosha bana..tafuta medium...lols:whoo:
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Pole mwaya kwakua na mwaka mbaya 10!Hopefully huu utakua heri zaidi na sio heri ya uliopita!
  Wanaume wa aina hiyo wapo wengi..hua hawajua ni kazi kiasi gani kuwa mama na mke kwa wakati mmoja!Wanadhani mtu hajipendi kumbe nguvu na muda wote unaishia kwenye kumjali mume na watoto ye anajiweka mwisho!Hawajui msaada kidogo tu unaweza kuleta mabadiliko zaidi ya anayolalamikia!Na kumnunulia zawadi badala ya kupeleka nyumba ndogo maana mama anakua hana hata muda wakujinunulia vitu vipya.
   
 7. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama vile kuna ukweli humu! Lol! Mungu uwape wanaume busara na uvumilivu
   
 8. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Nafuta ndogo kabisa, maana kubwa hadi pombe hazitoshi.
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Pauline pole sana kwa kuwa hospitali kipindi chote icho!
   
 10. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,375
  Likes Received: 3,207
  Trophy Points: 280
  Vipi kale kaugonjwa kako kakutamani wanawake wenzio kameshapona, kwa kweli nakuombea kakutoke kabisa. Zaidi ya yote pole sana kwa yaliyokusibu ukalazwa hospital six miezi.
   
 11. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Pauline uliyoyasema ni ya kweli umegusa pande zote ila umetuhuzunisha kidogo ulipolazwa 6month hospital nini kilikusibu?Pole sana Ila Mungu ni mwema.
  Angalia sana wengine wakinywa pombe hushuka chini badala ya kulewa!
   
 12. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mhhh nafikiria zaidi......Hivi ulikuwa unaumwa ugonjwa gani mpaka ukalazwa six months hospital??Pole sana ebu tuambie kwanza!!
   
 13. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Thanks wote kwa pole....unfortunately sitawaambia nilikuwa nasumbuliwa na nini..msije mkaninyanyapaa bure...!:embarrassed:
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Does not matter so long as you are now fine Tumshukuru Mungu.... Lets hope for a better tommorrow....
   
 15. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  au hospitali ya mirembe dom?

  pole
   
 16. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hatuwezi kufanya hivyo .......Ila tunashukuru kwa kuwa Sasa ni mzima wa Afya
   
 17. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  pole pauline, Have faith in 2011. All your wish will come tru.
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Pauline pole,ulchosema ni kweli,lakini inategemea hata na maeneo mnayoish,hzi nyumba ze2 za uswazi huku jikoni kuna wamama kibao maneno ya taarabu yamewajaa vnywani how can i enter there nipike?nadhani kwa kaz za ndani ntamsaidia,au hata kumpelekea maji bafuni,kumshka mtoto,pia kumwonyesha hali ya kujali,ila kama 2naish kwenye nyumba ye2 au yenye mazngra mazuri indpendnt kitchen unamsaidia kupika,kufua na mengneyo.....ila sasa wanawake wengne kwa akil zao bu2 ukimsaidia 2 ndo inakua tabu,
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  gud
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Well inategemea na mazingira ya nyumba unayoishi kwa hizi nyumba zetu za kupanga mmhh ni balaa tupu
   
Loading...