Dada zangu huu ni ustaarabu?

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA
 
Depends kama mtu ana chumba kimoja, sidhani kama hizi ulizikuta sitting room.
 
zinatakiwa zipate upepo.....zikifichwa sana hazitakauka...mwisho zitaleta fungus
 
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? Je huu ni huugwana

zilikupa mzuka nini mjita
 
Mie sioni kama ni kitu cha ajabu. Mbona dukani zipo, na tunajua kuwa mtu kavaa nguo ya ndani. Ni kitu ambacho hatuja zoea na tumejenga mawazo mabaya. Mtu akiona nguo ya ndani ya mwanamke anasisimka, kulikoni??. Kama huoni aibu anika nje kabisa na watu waone hakuna tatizo na wala si kinyume cha maadili. Ila katika jamii ya kitanzania ,sio ustarabu kuanika,kuweka peupe hizo nguo nyeti.
 
Tatizo nini mkuu? Mbona hata machinga wanazitembeza huwa huzioni?
 
Katika jamii gani ni ustaarabu kuanika, kuweka peupeni?

Mie sioni kama ni kitu cha ajabu. Mbona dukani zipo, na tunajua kuwa mtu kavaa nguo ya ndani. Ni kitu ambacho hatuja zoea na tumejenga mawazo mabaya. Mtu akiona nguo ya ndani ya mwanamke anasisimka, kulikoni??. Kama huoni aibu anika nje kabisa na watu waone hakuna tatizo na wala si kinyume cha maadili. Ila katika jamii ya kitanzania ,sio ustarabu kuanika,kuweka peupe hizo nguo nyeti.
 
zinatakiwa zipate upepo.....zikifichwa sana hazitakauka...mwisho zitaleta fungus

Hii ni pointi ya msingi preta,,nguo za ndani ni moja ya sababu za fangasi kwa wake,,kama unavyojua mazingira yao ni rahisi kupata viambukizi,hivyo nguo za ndani yabidi zipate mwanga zikauke vzr kwa wakati,,utamaduni tu hauruhusu ila better zikianikwa juani.HAPPY NEW YEAR
 
Sioni Tatizo labda zikiwa chafu tu ndio zisining'nizwe ! Chupi ni kama nguo nyingine tu sema ndio hivyo! Je wewe wale wanao weka Bafuni ambapo kila mtu anaziona tusemaje?
 
zilikupa mzuka nini mjita

acha izo m2 angu mi ninachosema utakuta binti ameninginiza hizo nguo kila upande ndio maana nikauliza kwani wanaoingia ndani ni wa rika tofauti ata heshima iwepo basi.
 
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA
Ndio, ni uungwana! Utajuaje kama amezifua?
 
Sioni Tatizo labda zikiwa chafu tu ndio zisining'nizwe ! Chupi ni kama nguo nyingine tu sema ndio hivyo! Je wewe wale wanao weka Bafuni ambapo kila mtu anaziona tusemaje?

Bafuni ni tofauti na kwenye chumba sababu kwenye chumba kila mtu anaingia mda wowote kukujulia hali sa ninapokuja nakutana na lundo la nguo za ndani mbele ya macho yangu inamaana akuna safe place ambayo haitakuwa screen saver za izo nguo za ndani kuzuia mtu aingiapo ndani asizione.
 
Katika jamii gani ni ustaarabu kuanika, kuweka peupeni?

SIO TABIA NZURI KUANIKA NDANI. WEKA NJE, NDIO MAANA HATUFUI AU TUNAVAA ZILIZO CHAKAA. NI KITU CHA KAWAIDA. KWANI NANI HAJUI KUWA UMEVAA CHUPI.

SuperStock_1828R-46527.jpg
 
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA
mbona madukani zinatundikwa hadharani, tena machinga wanapitisha mitaani huku wameshika mikononi, kwani nini cha ajabu? Mi naona ni nguo kama yingine tu, ubaya kama umekuta chafu imetundikwa, ambapo hata nguo ya kawaida ukikuta kwa mtu ni chafu unaweza sema yule fulani ni mchafu. (nimesema tu ila sio dada)
 
SIO TABIA NZURI KUANIKA NDANI. WEKA NJE, NDIO MAANA HATUFUI AU TUNAVAA ZILIZO CHAKAA. NI KITU CHA KAWAIDA. KWANI NANI HAJUI KUWA UMEVAA CHUPI.

SuperStock_1828R-46527.jpg

kuanika nje sio tatizo ila unaingia ndani unakuta zimewekwa kama SHOW ndo kinachoboa watu wangu.
 
Back
Top Bottom