Mpenzi wako asie mwaminifu...utamfanyaje ili arejeshe uaminifu?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Hili ni tatizo katika jamii yetu!
Japo kila mtu anajua moyoni mwake uzito wa hii Taabu.
Ikitokea mpenzi wako..anaweza kua ni mume au mke...au bwana yako au bibi ya wewe...anaanza kukutishia uaminifu au umeshaanza kusikia sifa za barafu wako wa moyo..anaanza kugawa...utafanyaje kuidhibiti hali hiyo...ili urejeshe hiyo imani...kua ni wewe pekee unae kula...au kuliwa?
Hayajanikuta ila nayajua vile nayasomea jinsi ya kudhibiti.
tujadili kwanza wenzangu JF.
 
Hapo kwa mwaka huu mpya ni kumuacha tu na kusonga mbele na maisha kwani kama si muaminifu ni ungonjwa usio kuwa na tiba.
 
Atatamani ila mwenzie atakua kashasonga mbele!

Lizzy, utakua na uhakika gani kuwa huyo mwingine hatakutenda? Najaribu kufikiria jinsi gani tutakavyokua tunaachana na kuanzisha uhusiano mpya every now and then...mana hakuna guarantee huko tunakosonga mbele kutakua na uaminifu asilimia mia.
 
Tatizo ni kwamba mtu akishapoteza uaminifu inakua ngumu sana kurudisha na wengine kuacha yaliyosababisha hawawezi!Kila siku utakua unawaza kama kweli kaacha...kisa cha kufa kwa presha na msongo wa mawazo?
 
Unachosema ni kweli, ni ngumu sana kumuamini mtu aliyekutenda. Mi ninavyoona kabla ya kusonga mbele ni bora ukajua tatizo liko wapi, inawezekana ukawa ndio chanzo cha mwenzi wako kutoka nje. ukijua tatizo itasaidia hali hiyo isijitokeze tena iwe kwa huyo jamaa ama huko unakosonga mbele.
 
Muda wa kutafuta tatizo utaupata wapi?
Muda huo huo unakua unamuwaza mpz mwengine...nahisi hata katika mahusiano wengi wetu tunao wengine tulio wawaweka kama akiba...ikitokea ...ukajitulize...kumbe na huko kutakua hvyo hvyo.
 
muda wa kutafuta tatizo utaupata wapi?
Muda huo huo unakua unamuwaza mpz mwengine...nahisi hata katika mahusiano wengi wetu tunao wengine tulio wawaweka kama akiba...ikitokea ...ukajitulize...kumbe na huko kutakua hvyo hvyo.

heri niwe peke yangu
 
Kama siyo mwaminifu nafikiri umwache, huna njia ya kumfana awe mwaminifu utakufa kwa presha. Nimeona kwa watu wengi sana wanafikiri eti mavituz ndiyo yanafanya watu kutokuwa waaminifu, ila hiyo ni tabia tu.

Omba Mumgu upate mtu wako, huyo siyo atakupotezea tu.
 
Unachosema ni kweli, ni ngumu sana kumuamini mtu aliyekutenda. Mi ninavyoona kabla ya kusonga mbele ni bora ukajua tatizo liko wapi, inawezekana ukawa ndio chanzo cha mwenzi wako kutoka nje. ukijua tatizo itasaidia hali hiyo isijitokeze tena iwe kwa huyo jamaa ama huko unakosonga mbele.
Kwanini hakuvunja ukimya kabla ya kutoka nje ili litatuliwe kama kuna tatizo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom