Nilikosea kumlipa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilikosea kumlipa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by St. Paka Mweusi, Dec 31, 2010.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kuna siku nilitokewa na ndoto nzuri na ya kupendeza.Usiku huo niliota nipo na msichana mrembo wa kuvutia ambaye kila kijana pale mtaani alikuwa akitamani kuwa naye.Na mimi katika ndoto hiyo nilimfaidi barabara,maana ilikuwa nikiamka na kujisafisha narudi tena kulala, naye anakuja tena na ndoto inaendelea na tuna do tena,hali hiyo ilijirudia mara tatu mpaka kulipokucha.Asubuhi yake nikajiona kuwa sitamtendea haki dada wa watu endapo sitamlipa ujira wake kwa kazi aliyonitendea ukizingatia kuwa mimi pia sipendi vya bure.Basi mtoto wa kiume nikatoka mpaka anapoishi yule dada na kutoa kitita cha noti na kumkabidhi,akaniuliza unanipa pesa ya nini?Nikamsimulia ndoto yangu,We!Nilikoma jinsi alivyonitoa mbio siku hiyo mpaka nikajiuliza kosa langu lilikuwa lipi?Kumlipa ujira wake?Kuota ninado naye?Au ujasiri wangu wa kwenda kumsimulia ndoto yangu.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Watu wengine bwana...kwahiyo kwa akili zako zote unaona ulifanya kitu cha maana??Back to logic...uliyemtamani ni wewe...uliyeota ni wewe bila msaada kutoka kwake sasa unamlipa kwa lipi??
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Hahahahahahahahah,umeniacha hoi kwa kicheko maana umekuwa mkali kama yule mdada alivyokuwa siku ile....
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaah utakuwa uli do na jini mahaba lililokujia kwa sura ya huyo mrembo jirani yako. Pole kwa mkasa uliokukumba!!
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mhhu baki huko huko hoi mpaka nije kukuchukua!Alafu wewe si ajabu ulitegemea kwakujipeleka ndo atajilengesha!
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Haya mama nakusubiri uje unichukue.....
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaa............!!!!!!!!!!
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  mwanangu kama kawa na mahoka yako, hadithi ya leo ni kali ya kufungia mwaka! Heri ya mwaka mpya mkuu...
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Haya toka huko!
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  kweli hii ya kufungia mwaka.
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Nimekuambia unitafutie ajira mkuu,maana niliyopitia katika haya mambo yanatosha kuandika best selling movie..........
   
 12. k

  kisukari JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  hata ingekuwa mimi,ningekufurumusha
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ndoto zingine ni utata mtupu
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  FL si nilikuambiaga jameni ugeukiege huku kwangu kwenye hiyo avatar yako, au ulikataaga?
   
 15. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oyaa black cat eeh mbona hii kimitego babuu
  kwahiyo mchizi ulikuwa unajishindilia mibao kivyako duh
  kizushi zushi lazima godoro lilikuwa na mitundu kibwena
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Hahahahahaha,leoo.........!
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Rugugu rurizidi.
   
 18. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haswaa lishindwe.
   
 19. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,370
  Likes Received: 3,203
  Trophy Points: 280
  Nimecheka mpaka bia ya mkopo imenipalia!!!!
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yani unafunga mwaka kwa kukopa!Siungekunywa soda tu!
   
Loading...