Kwa atafutaye mume!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa atafutaye mume!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mvaa Tai, Dec 29, 2010.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  pictures.jpg :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

  Hawa vijana watatu wapo Mkoani mbeya maeneyo Lughombo wanajishughulisha na kilimo kama timu, hawajawahi kuoa, sasa wamechoka na maisha ya kibachela kwa pamoja wamekubaliana kila mtu atafute mke wa kuoa. kwa atafutaye mume hii ni fursa ya kutokuiacha.

  Wakwanza ana umri wa miaka 33, wa pili miaka32 na watatu miaka 27.

  Sifa za wanawake wanao takiwa kutuma maombi kwa kila mmoja.

  1. Wakwanza kutoka kushoto anaitwa Afyusisye: anataka mwanamke mrembo, msafi na asiwe mfupi mwenye umri usiozidi miaka 35. Weupe ni added advantage.


  2. Wapili kutoka kushoto anaitwa Anyimike: anataka mwanamke mrembo, mweupe, mrefu mwembamba mwenye umri usiozidi miaka 37. Urefu ni added advantage.

  3. Watatu kutoka kushoto anaitwa Kapufi: anatafuta mwanamke mwenye mwili mkubwa na uwezo kifedha, mwenye umri usiozidi miaka 37. Urembo ni added advantage.


  Wote watatu wanatumia e-mail hii fredsimon65@yahoo.com kikubwa unatakiwa kusema unamuhitaji nani? then atakujibu kwa kukuuliza maswali mawili matatu ya usahili uki-pass mchakato wa posa utaanzia hapo:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:.
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Duu! usini pm mimi wasiliana nao wao
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  oryt oryt....mimi naomba unifikishie ujumbe kwa Anyimike.....mwambie nilipoona picha yake saa hiyo hiyo mapigo ya moyo yalibadilika.....ki ujumla sijiwezi asilani.....aniPM nina maneno nataka nimweleze
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Peleka kwenye utani!
   
 5. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ah Mugonile? Nawafahamu hawa vijana, changamkieni akina dada. ezan amesahau kuwajulisha kwamba hao ni wadogo zake kabisa, na wana vipaji kibao kama mpira wa miguu nk
   
 6. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Lizzy! huyu jamaa hatanii hao vijana wapo ila nilikua sijui kama wamekua kiasi hiki mpaka wanatafuta wachumba
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Unafanana nao!
   
 8. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ezan unafanana na wa dogo zako mh kama mayai.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Basi awaambie wajiunge ili watafute wenyewe!Kwani ye kawa dalali!
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  uko sahihi
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  namtaka uyo wa kwenye avatar yako
   
 12. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haiyaa wataka kuiba sasa shost,,,, umepewa kuonja wataka kuvunja sahani,,
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Huyo black beauty wa katikati amenivutia sana ila vigezo vya kumpata sina.
   
 14. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ezan bwana! Mpaka umetoa email yako?!! Lakin ni njia nzuri ya ku-advertize email yako kwa warembo wa JF. Nadhan watajitokeza kwa wiiiingi
   
 15. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We tuma maombi tu, atashuka bei mwenyewe akiona figa lako
   
 16. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamtaka dalali, sio wanao-dalaliwa?!!
   
 17. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe warembo wanajitokeza uki-jitangaza kuwataka?!! Ngoja na mimi nitangaze nia . . .
   
 18. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Humuwezi....!
   
 19. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ila mi nina kipaji cha wizi tu
   
 20. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Huyo ni mimi, na mimi sichukui mwanamke kirahisi rahisi kuna sifa inabidi uwe nazo, kwasababu nahitaji mwanamke wa kuishi naye maisha yangu yaliyo baki, ni lazima awe na uzoefu wa kuishi na mume si chini ya miaka miwili, na kwasababu nahitaji watoto inabidi muombaji awe na uzoefu wa kuzaa atleast awe na watoto wawili. Kuzaa nje ya ndoa itakuwa ni added advantage
   
Loading...